Barabara mpya ya Morogoro (STRABAG) inavunjwa

Kwani ilikuwa imeshakabidhiwa kwa serikali? Kama ipo chini ya kiwango gharama ni za mkandarasi na si serikali au benki ya dunia. Kumbuka hata barabara ya Kilwa ilirudiwa hivyo hivyo kwa gharama za mkandarasi.
Aliyekudanganya nani kwa gharama za mkandarasi
 
Hii si ilikuwa inasimamiwa na waziri yule tunamwita Jembe, Tingatinga na majina mengine kibao? Imekuwaje tena?
 
Hiyo ndiyo sura halisi ya magufuli!. Viwango chini, hasira juu, kukurupuka kwa sana, uongozi zero.
 
Nakumbuka nilikuwa nafika nyumbani kibamba saa nane usiku. one day pinda naye aliisoma namba

Acha tu, kuna siku nimetoka ubungo naenda mabibo, kufika big brother njia ya mabibo imefungwa... nilitafuta u turn hadi magomeni.... wametutesaaaa weeeee sasa wanaanza tena! natamani niwaroge wafweee kabisa
 
Kwani ujenzi wa barabara hii si alisimamia Mh.Maroad? ina maana amekubali wavunje yaani kazi ilikuwa mbovu na hajagundua before?Hajafukuza wakandarasi?Hapo itabidi ile nafasi yake ampe mtu makini zaidi yake,Anyway Mr.Burdozza rekebisha makosa uifikishe mbali Nyumba hii iliyoshuka thamani sasa.
 
Hawa starbag wamejenga barabara nzuri sana kwenda iringa huenda hao dar siyo wenyewe ni feki
 
teh,teh,teh aliyeturoga alishakufa ccm ni ileile.
 
Nyumbu wa lumumba nadhani bado hawajaamka.
 

weka picha..maana wanaoishi Kimara Mwisho, wanasema hakuna barabara inayovunjwa! Sijui wewe umeona wapi hilo zoezi likiendelea...
 
Aliyekudanganya nani kwa gharama za mkandarasi
Kwa hiyo uzembe wa mkandarasi unalipiwa gharama na mwajiri wake? Kama ni gharama za mwajiri ambaye ni serikali au benki ya dunia je unataka kumaanisha inabomolewa ili ijengwe kwa requirements mpya ambazo mkandarasi hakuwa nazo mwanzo? Kama si requirements mpya kwa ijengwe tena kwa gharama za serikali wakati haijakabidhiwa?
 

Ndugu Tunaomba Picha
 
Msimamizi mkuu ndio man of the house. Sasa itakuwaje? Kashindwa kubeba kilo 20 wampakiza 100!!! TZ tunatwanga maji bado
 
Siijui nani alitoa wazo la kujengwa BRT Dsm. Sina hakika kama anaijua dsm vzur. Ametuletea kero zaidi.
 
Hawa starbag wamejenga barabara nzuri sana kwenda iringa huenda hao dar siyo wenyewe ni feki

Dar hakuna madini wanaishia kuiba mafuta na sumenti. Nenda kaangalie road ya Segera/Kilimanjaro walivyoitendea haki.
 
Wacha waisome namba eeeeeeeeeeh ccm mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…