Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,103
Pale yupo Gondwe na unajua alivaa manguo ya Jeshi akaenda pale na mbwembwe kibao na akasema washarekebisha sasa wanaogopa wakiripoti watamuharibia mdau wao wa habatiInashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
Yani hilo ndio jambo la kushangaza na nchi yetu hiiInashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
Kuna Magari yamekwama huko kutokana na barabara kujaa maji. Sijaona chombo chochote kimeripoti au wameshawachoka.
Daraja la barabara ya Handeni-korogwe limebomoka tangu jana.Ipo barabara ya handeni unatokea mkati. Kwa wanaotoka arusha dar or dar arusha, au tanga arusha au arusha tanga.
Ukitoa miundombinu mibovu labda, natural calamities huwa haziepukiki.
Ni hatariDaraja la barabara ya Handeni-korogwe limebomoka tangu jana.
Kwahiyo njia ya Handeni haipitiki.
Daraja la Mandera ambalo ni Korogwe-Segera limejaa maji na kuna dalili limekua eroded maana chini hapaonekani.
Kifupi kama uko Korogwe huwezi kwenda Handeni, huwezi kwenda Tanga wala huwezi kwenda Dar.
tbc usiku walitoa taarifaInashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
subiri tukapokee ndege yetu mpya kwanza.Daraja la barabara ya Handeni-korogwe limebomoka tangu jana.
Kwahiyo njia ya Handeni haipitiki.
Daraja la Mandera ambalo ni Korogwe-Segera limejaa maji na kuna dalili limekua eroded maana chini hapaonekani.
Kifupi kama uko Korogwe huwezi kwenda Handeni, huwezi kwenda Tanga wala huwezi kwenda Dar.
Mkuu hapo naona njia nyepesi iliyo baki ya kuwatoa walipo ni ile ya upepo wa kisulisuli tu.
Kwani hizi habari zinaleta sifa na utukufu?Inashangaza kuona hakuna chombo cha habari chochote kilichotoa taarifa hii, ikiwa ni pamoja na kutoa tahadhari kwa wasafiri wengine wanaotumia barabara hizo
Daraja la barabara ya Handeni-korogwe limebomoka tangu jana.