...kuna ndugu yangu katoka arusha leo asubuhi amekwama hapo korogwe wameambiwa daraja karibu na Muheza limetitia kutoka na maporomoko
Hadi niandikapo ujumbe huu saa mbili kasoro kumi bado wapo korogwe na wameambiwa huenda wakalala hapo.
Ninaomba kama kuna mwenye taarifa za ziada kuhusu hili aweke hapa...