ah aha ah aaa du naoan hawezi rudi tena huyu. mtu kabahatika kutoka kidogo nje ya mji anatuletea picha za namfua wapi na wapiWe badala ya kuweka barabara za town unaenda kuweka barabara za mbungani au unafikiri huku Jf kuna twiga na tembo? Maswali haya waulize wanyama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Barabara ya LAMI, watu tuna njaa unatuuliza habari za barabara
Wale watembezi chemsha bongo hio, ni barabara gani au wapi hapo?View attachment 787853 View attachment 787855 View attachment 787857