BARA ZAmani, leo ni sLAa aMA WAZIRI

kama kweli umebuni mwenyewe.huna mpinzani we ni mkali.ila usiache kipaji chako kikaja potea bure.

Mwana nashukuru, hii ndo "the home of great thinkers" kwa kila angle ila umenishtua kidogo. Ni changamoto fulani, ngoja tuone. Again thanks!
 
ee Bwana ee! Hili baraza lako la mawaziri kwenye stori imekuchukua muda gani kuliunda? Maana naona ni kazi ngumu sana. Hongera sana!
 
ee Bwana ee! Hili baraza lako la mawaziri kwenye stori imekuchukua muda gani kuliunda? Maana naona ni kazi ngumu sana. Hongera sana!
Sikumbuki exactly ni dakika ngapi, wazo lilipokuja, nikafungua page yenye orodha yao so nikawa nasoma wizara na jina la waziri husika, then najaribu na ku-relate na matukio na mitazamo ya watu. Na sometimes nikaingizia jokes ili kufikia lengo. Nashukuru kwa comments zenu. Pamoja sana wadau!
 
Back
Top Bottom