Bar space to let

Bar space to let

chaudere

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
24
Reaction score
0
habari zenu wadau...natafuta eneo la bar linalopangishwa sehemu yoyote jijini dar...iwe bara barani na iwe na parking...dalali kama yupo ni poa...
 
Kuna sehemu iko Mwananyamala Komakoma, iko barabarani lakini parking kidogo ni mzozo, mwenyewe anauza pamoja na vitu vyote ie freezer, viti, meza ,tv ect. Kama uko interested unaweza kuniPM nikakuunganisha naye ukaenda kuina hiyo sehemu.
 
shukrani, ila nahitaji inayopangishwa sina uwezo wa kununua sehemu
 
Nilichokuwa nimaanisha ni kuwa, mwenye baa naye kapanga but anataka kubadili biashara kwahiyo anauza vitu vyake vyote vya baa na inabidi umrudishie na pesa yake ya kodi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom