Ni Barmaid sio Bar-med.
BTW kama umeamua kuwa barmaid basi ujue mwili wako ni mali ya wateja except papuchi.
Unforgetable
asisitize tu wateja wake kutumia condomsHabari zenu wana jf ... Ana hitaji kuwa barmed kutokana na ugumu wa maisha anao pitia. Anaomba ushauri wenu na ni njia zipi atumie anapokuwa muhudumu kuepuka ku laghaiwa ..Napia anaomba kujua background za hii kazi na ni mbinu zipi atumie
Nb; Lugha chafu haziruhusiwi..