Bar hii sintakunywa tena!

Huo mtindo upo sana Dar, mpe mkeo au girlfriend pesa za bia na nyama, washikaji wakija kujiunga kikaoni wakiona mamaa ndiyo anahudumia ... wanasepa. Machangu nao wanakukalia pembeni.
 
Kwetu kiumeni TMK huwa tunawaita mainzi, yaani kumpiga mwanaume mwenzio mzinga unaona u-sharp??
Kwanini unune bar? Mtu anayekuomba bia mara nyingi ni yule anayekufahamu, na mtoto wa kiumeni haombi bia hata ikiwa krismasi na hana kitu ni bora ampige mtu nondo ya kichwa.
 
Hapa swala sio uanaume... swala ni ''zoba kaaaaa jaaaaaa, pakua wali wa jaaaaaaaaa'' Na usipoangalia utavuliwa suruali vilevile
 
Hapa swala sio uanaume... swala ni ''zoba kaaaaa jaaaaaa, pakua wali wa jaaaaaaaaa''
Kama nakuona vile .... huwa tunawaita mainzi, ila ukijichekesha kidogo na kuanza stori za Arsenal na Man U, huwa tunawaita mapaka wa baa!! lol, gangamala wewe, mji una watu milioni nne ... perfect city to hustle, in the whole of sub saharan Africa. Lets get this monie and smash these hot broads.
 
Sio kuwa wanadoea bali wanajuwa hizo pesa mmkwapua huko makazini
 
"Utakuja kudaiwa kodi kwa kutembea juani mchana kweupe ukiendekeza tabia ya kujichekesha mjini".
Perfect warning from macho_mdiliko.
 
Last edited by a moderator:
Mbona kwa BAA za KINONDONI hayo ni mambo ya kawaida...
Hapo bado hujakutana na MASHOGA aisee utaomba POO.....................LOL
 
Sitaji jina kwa sababu za kiethics kaka

Umeshindwa kutaja jina la baa na mmiliki, sawa. Na kumwambia mtu nalipa bia nilizokunywa tu, nalo unashindwa?
mpaka uje JF, haiwezekani, umetunga stori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…