mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 641
- 594
Nafanya tafiti, kwa nini bar hazijai wanywaji. Mupemupe nazo zimepungua...
Nahitaji comments kuestablish hypothesis
Nahitaji comments kuestablish hypothesis
Sio bar tu hata gesti house tena nyingine zimeshusha bei huku kukiwa na offer kibao kama" lipia siku mbili upate moja bure"Nafanya tafiti, kwa nini bar hazijai wanywaji. Mupemupe nazo zimepungua...
Nahitaji comments kuestablish hypothesis