Asante kwa kuja nadhani hii tune ya ufisadi wake ifanyieni kolabo sasa manake naona mnaishia kuponda huku mitandaoni nyuma ya ID bandia bila ithibati yoyoteWe nawe ni Mbulula tu,Fisadi wako kaenda kujipendekeza kwa wakubwa wake samaki ana nguvu akiwa majini lakini ukimtoa hana ujanja,nguvu ya Lowasa ilikua ndani ya CCM kwa sasa yupo kwenye foleni tu ya akina Mrema
Wewe huna chochote ukijuacho unafaa kuandika zile makala zako za uchawi ila kwenye siasa yaani kila siku unajiaibisha tu Magufuli kawatia wazimuAsante kwa kuja nadhani hii tune ya ufisadi wake ifanyieni kolabo sasa manake naona mnaishia kuponda huku mitandaoni nyuma ya ID bandia bila ithibati yoyote
Kama kweli CCM ina ubavu, imuite LOWASSA kwenye hii mahakama mfu ya ufisadi ambayo kila kukicha wanashadidia.Asante kwa kuja nadhani hii tune ya ufisadi wake ifanyieni kolabo sasa manake naona mnaishia kuponda huku mitandaoni nyuma ya ID bandia bila ithibati yoyote
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama kweli CCM ina ubavu, imuite LOWASSA kwenye hii mahakama mfu ya ufisadi ambayo kila kukicha wanashadidia.
Nakuhakikishia hakuna jiwe litasalia juu ya jingine, utashangaa Raisi amejishika mwenyewe
Hongera sana Mshana jr, hongera zake mama yako aliyekuzaa kweli alikulea katika maadili mema, yaani huwa unanifurahisha sana huna hasira wala huna muda wa kujibizana na mtu! I wish ningepewa roho kama yako. Hongera sana once againHaya asante kwa ushauri lakini ukiweza weka hakiba ya maneno
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hongera sana Mshana jr, hongera zake mama yako aliyekuzaa kweli alikulea katika maadili mema, yaani huwa unanifurahisha sana huna hasira wala huna muda wa kujibizana na mtu! I wish ningepewa roho kama yako. Hongera sana once again
Akiba.Haya asante kwa ushauri lakini ukiweza weka hakiba ya maneno
Sasa kwa nini asiruhusiwe kufanya mikutano ili "asafishike" vizuri zaidi?Amemaliza kazi yake ya kujisafisha kutokana na ufisadi aliosingiziwa na chadema 2008. Sasa yupo tayari kurudi chama chake, anajiwekea mazingira safi. Safi sana Lowassa kwa kupiga bao la mkono, hivi sasa wewe ni mtu safi, Rais wao.