Banned rev masanilo ( ip ban)

Banned rev masanilo ( ip ban)

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
20,119
Reaction score
46,349
Ilikuwa hivi.........
quote_icon.png
By Rev Fr Masanilo
Udhaifu huu! IP ban never works acha kamba mkubwa -🙂

quote_icon.png
By Invisible
Mkuu nikuonjeshe IP ban kwa 24hrs kisha uje utwambie kama haifanyi kazi? Hatutofungia jina, hapo manake tutahakikisha JF huioni kwenye IP husika.

quote_icon.png
By Rev Fr Masanilo
Mkuu siwezi jaribu ukali wa sumu kwa kuilamba! Hebu jaribu kunipa IP BAN kwa masaa 4 nikishindwa kulogin nitajua hamtishii Nyani na sanamu ya mtu

quote_icon.png
By Invisible
Pumzika salama mkuu,

Najua kwa sasa unahangaika kuipata JF bila mafanikio...
quote_icon.png
By Rejao
Hahaha..
Inamaana umemlima ban?

quote_icon.png
By Invisible
Kala kwa kutaka mwenyewe,,, kaomba masaa 4, sasa itategemea kama ntakuwepo muda huo au ntakuwa kwenye issue tofauti. Akirejea atatueleza how good it was!

Jamaa ni noma huyu

Nimeachiwa kwa sasa!
 
msameheni.
mrudishen jaman masaa ma4 marefu ...ashajua amtishii kujamba wakat mnaharisha.
 
hebu nipe story ilikuwaje mkuu??
Umemuomba msamaha??
au uliingia na ID nyingine???
na ulitumia Simu au Ipad??

aliachiwa tu huyo, alikuwa apigwe ban ya masaa manne.
 
Jamaa ni noma huyu

aZXp7bMNANAHsgpkYHgFAIDAQFaBDMgqAAAEBrIKZEBWAQAgMP8fWvs0MQ4i1b8AAAAASUVORK5CYII=

Nimeachiwa kwa sasa!

Unajua awali nilikuwa sijaelewa.............kumbe Member anaweza kuomba Ban hata ya nusu saa na akapatiwa...... basi na mie nikichoka na JF nitaomba japo ya masaa 72, ili niweze kufanya kazi nyingine maana najiona kama vile nimekuwa addicted..................LOL
 
hebu nipe story ilikuwaje mkuu??
Umemuomba msamaha??
au uliingia na ID nyingine???
na ulitumia Simu au Ipad??

PC huwezi login unapata ujumbe server not found nikijaribu JF ila page zingine zinafunguka.

Nimeweza login kwa simu

Ninaamini Malaria Sugu wanamlea sana apewe permanent server ban
 
Wengine tupo addicted na JF, tukipewa ban hata ya nusu saa tunacreate multple IDs kama wanavyofanya Mwita na Yo Yo
 
Reverend angalia siku moja usije kumwomba Mungu akupeleke kuzimu ukaonje namna kulivyo. Shetani hatakubali utoke huko.
 
Unajua awali nilikuwa sijaelewa.............kumbe Member anaweza kuomba Ban hata ya nusu saa na akapatiwa...... basi na mie nikichoka na JF nitaomba japo ya masaa 72, ili niweze kufanya kazi nyingine maana najiona kama vile nimekuwa addicted..................LOL

Sio peke yako, wengi tumekuwa adicted, ila huenda IP ban ikatuokoa.
 
Back
Top Bottom