Bank zinazosapoti Original Credit Transaction

Nrangoo

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
3,420
Reaction score
5,488
Habari wakuu .

Nimepata changamoto ya kuhamisha fedha kutoka Skrill kwenda Visacard ya bank ya Equity. Transaction was failed!

Na nilipowauliza ndio wakaniambia bank husika haisapoti Original Credit Transaction (OCT).

Naomba kujuzwa bank zinazosapoti hii huduma ya kupokea hela kutoka Skrill au (OCT)

Ahsante
View attachment 1587150
 
.
20201001_180942.jpg
 
Boss wangu hzo USD umepokea kutoka wapi.?? Ni gambling kama ni gambling njoo pm nikupe solution
 
Back
Top Bottom