Bank za Kenya hazituibii kama za TZ?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,228
116,840
Nina mtu juzi kaniambia yeye haweki pesa yake bank za TZ
sababu zina wizi saana

Anadai bank zetu kama crdb na NMB zina charge pesa kila mwezi
na wakati huo huo zina charge pesa kila unapotoa pesa kwa ATM au bank

Wakati bank kama KCB hawa charge pesa za kkutoa hela kabisa

nimeshindwa kukubali au kukataa

kuna mtu anaweza saidia ni kweli?
 
Kwa hizi akili acha mdeki barabara mi naona ni Kawaida sana kwa haya Malipo mahali popote duniani tena unakuja na Mfano wa Bank Moja ya Kenya tueleze umefanya Utafiti wa Banks ngapi?

2.jpg
 
Back
Top Bottom