Bank ya CRDB inachosha, Usiamini huduma yao

NyaniMzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
396
Reaction score
727
Wapendwa wanajamii,

Mimi nimekuwa ni mteja wa CRDB Bank kwa miaka si chini ya 12. Mwanzoni nilijivunia kuwa mteja wa CRDB kwa jinsi walivyokuwa wakiboresha huduma kila mara. Lakini kwa sasa CRDB ni benki ya hovyo kuliko mfano. Usijaribu kuamini kuwa ATM zao zina fedha muda wote utaadhirika! Usijaribu kununua bidhaa kwa kutunia credit card zao utaumbuka.

Usiamini huduma yao ya "Simbanking" utaboreka maana kila mara wanarekebisha mitambo! Siku za weekend ndio balaa kabisa ATM zinaenda " kupumzika Coco beach " hadi weekend ipite hivyo usijisumbue kutafuta pesa Jumamosi au Jumapili. Cha ajabu CRDB ina wafanyakazi wengi tu ambao vitendea kazi vyao ni "Smartphones" na kila muda "wanazichungulia na kuzipangusa" zisichafuke. Shame on you CRDB! Nawapongeza NMB maana wameamua kuwapiku hawa wanaochezea biashara.

Huduma za NMB zinaridhisha ila labda kama wewe una kadi ya CRDB na unataka kuitumia katika ATM za NMB. Kitakachokupata ni kuambukizwa magonjwa ya CRDB ukiwa katika ATM ya NMB. Nimeamua nahama sitaki kuteswa na pesa zangu na nimechoka kuadhirika na kikadi kilichoandikwa CRDB Tembo card na nyingine ya ovyo kuliko wanaita Premium Gold Visa Card. Kazi kwenu mnaoipenda CRDB.
 
Hiyo ni cha mtoto, ukifungua akaunt NBC akaunti hiyo kuipata mpaka usahau kwanza ni lini ulifungua akaunti. Kuna baadhi ya matawi mfano Kahama in some cases inabidi hadi utoe rushwa ndio tatizo lako la kupata akaunti lisshghulikiwe, hili sijaambiwa, ni shuhuda kabisa
 
Mkuu NBC ni uozo mwingine huo. Wamejaa wazee tu kutumia computer ni mtihani mpaka waitane kuelekezana. Mteja yuko counter wao wanasogoa za waume zao! Huko usijaribu kujiunga utajutaaaaaa
 
CRDB - Cooperative and Rural Development Bank

Mjini wameshindwa. Ni vyema wakajikite kwenye asili yao. Ushirika na maendeleo vijijini na sehemu za mashambani.
 
You have said it all Sibonike! wanajiita "Cooperative and Rural Development Bank- Bank" yaani CRDB Bank
 
Mkuu NBC ni uozo mwingine huo. Wamejaa wazee tu kutumia computer ni mtihani mpaka waitane kuelekezana. Mteja yuko counter wao wanasogoa za waume zao! Huko usijaribu kujiunga utajutaaaaaa
Equity Bank ndiyo mpango mzima.
Hamna vile vidada shebeduzi wala wabana pua, kazi kazi mtindo mmoja huduma zote faster, kiukweli wako vizuri.

CRDB usijaribu weekend kutafuta hela through ATM utajuta.
Bank zetu bado sana sijui tatizo ni nini jamani watanzania
 
Wapendwa wanajamii,

Mimi nimekuwa ni mteja wa CRDB Bank kwa miaka si chini ya 12. Mwanzoni nilijivunia kuwa mteja wa CRDB kwa jinsi walivyokuwa wakiboresha huduma kila mara. Lakini kwa sasa CRDB ni benki ya hovyo kuliko mfano. Usijaribu kuamini kuwa ATM zao zina fedha muda wote utaadhirika! Usijaribu kununua bidhaa kwa kutunia credit card zao utaumbuka.

Usiamini huduma yao ya "Simbanking" utaboreka maana kila mara wanarekebisha mitambo! Siku za weekend ndio balaa kabisa ATM zinaenda " kupumzika Coco beach " hadi weekend ipite hivyo usijisumbue kutafuta pesa Jumamosi au Jumapili. Cha ajabu CRDB ina wafanyakazi wengi tu ambao vitendea kazi vyao ni "Smartphones" na kila muda "wanazichungulia na kuzipangusa" zisichafuke. Shame on you CRDB! Nawapongeza NMB maana wameamua kuwapiku hawa wanaochezea biashara.

Huduma za NMB zinaridhisha ila labda kama wewe una kadi ya CRDB na unataka kuitumia katika ATM za NMB. Kitakachokupata ni kuambukizwa magonjwa ya CRDB ukiwa katika ATM ya NMB. Nimeamua nahama sitaki kuteswa na pesa zangu na nimechoka kuadhirika na kikadi kilichoandikwa CRDB Tembo card na nyingine ya ovyo kuliko wanaita Premium Gold Visa Card. Kazi kwenu mnaoipenda CRDB.
Mimi ni mteja wa CRDB, nilihama kutoka NBM miaka saba iliyopita baada ya kuona huduma zao zimekaa kiserikali serikali yaani niliona niwapige chini na sina mpango wa kurudi huko tena, labda kama kutatokea benki nyingine tofauti na NMB itakayoweza kuwapiku CRDB kwa huduma, by the way vipi NBM wana toa huduma ya VISA kwasasa au huduma inayofanana na VISA?
 
CRDB badala ya kuboresha huduma zao mbovu...Wanafungua vibranch uchwara vyao kama uyoga wanaviita Microfinance.....hivi vimicrofinance vitakufa kama vile vya Barclays vilivyokufa
 
Mimi ni mteja wa CRDB, nilihama kutoka NBM miaka saba iliyopita baada ya kuona huduma zao zimekaa kiserikali serikali yaani niliona niwapige chini na sina mpango wa kurudi huko tena, labda kama kutatokea benki nyingine tofauti na NMB itakayoweza kuwapiku CRDB kwa huduma, by the way vipi NBM wana toa huduma ya VISA kwasasa au huduma inayofanana na VISA?
NMB wanatoa huduma ya Visa. Very effective and impressive too! Jaribu kutembelea. Haipo kiserikali kama usemavyo.
 
Mimi ni mteja wa CRDB, nilihama kutoka NBM miaka saba iliyopita baada ya kuona huduma zao zimekaa kiserikali serikali yaani niliona niwapige chini na sina mpango wa kurudi huko tena, labda kama kutatokea benki nyingine tofauti na NMB itakayoweza kuwapiku CRDB kwa huduma, by the way vipi NBM wana toa huduma ya VISA kwasasa au huduma inayofanana na VISA?
Kwa sasa wanatoa Huduma hiyo. Wanaviza kadi
 
Wapendwa wanajamii,

Mimi nimekuwa ni mteja wa CRDB Bank kwa miaka si chini ya 12. Mwanzoni nilijivunia kuwa mteja wa CRDB kwa jinsi walivyokuwa wakiboresha huduma kila mara. Lakini kwa sasa CRDB ni benki ya hovyo kuliko mfano. Usijaribu kuamini kuwa ATM zao zina fedha muda wote utaadhirika! Usijaribu kununua bidhaa kwa kutunia credit card zao utaumbuka.

Usiamini huduma yao ya "Simbanking" utaboreka maana kila mara wanarekebisha mitambo! Siku za weekend ndio balaa kabisa ATM zinaenda " kupumzika Coco beach " hadi weekend ipite hivyo usijisumbue kutafuta pesa Jumamosi au Jumapili. Cha ajabu CRDB ina wafanyakazi wengi tu ambao vitendea kazi vyao ni "Smartphones" na kila muda "wanazichungulia na kuzipangusa" zisichafuke. Shame on you CRDB! Nawapongeza NMB maana wameamua kuwapiku hawa wanaochezea biashara.

Huduma za NMB zinaridhisha ila labda kama wewe una kadi ya CRDB na unataka kuitumia katika ATM za NMB. Kitakachokupata ni kuambukizwa magonjwa ya CRDB ukiwa katika ATM ya NMB. Nimeamua nahama sitaki kuteswa na pesa zangu na nimechoka kuadhirika na kikadi kilichoandikwa CRDB Tembo card na nyingine ya ovyo kuliko wanaita Premium Gold Visa Card. Kazi kwenu mnaoipenda CRDB.
Yamenikuta nimefika TZ nikatumia Debit Visa card ya nje kwenye ATM ya CRDB Mbezi mwisho. Nikiwa katika harakati za kutoa pesa nikiwa nafuata maelekezo ya ATM ilifikia pahala ATM ikaniambia subiri pesa, nikasikia machine ikihesabu several times kisha ilipomaliza ikasema transaction cancelled chukua kadi yako na pesa haikutoka. Nilipokwenda kwenye internet kuangalia salio nikakuta zile pesa zimeshachukuliwa kutoka kwenye account yangu. Hadi naondoka home kurudi kazini sijarudishiwa hizo pesa hadi leo.
 
Back
Top Bottom