Hii imetokea pia dodoma juzi Kati tu hapa. Mdada Kala hasara ya zaidi ya laki 6 kwa style hiyo. Matapeli sio watu wazuriKumbe siku hiyo na wewe ulikuwepo? Mimi ndio nilifika nataka kutoa pesa nikamtajia kiasi nachotoa. Akazitoa azihesabu, alichokikuta ni siri ya wengi.
Halafu kalikuwa kabishi sana tunakaambia piga simu customer care waambie umekosea namba, kakaanza kutuuliza "mnanifundisha kazi?" Utadhani polisi. Basi bwana kakasema MIMI NI WAKALA NIMEMTUMIA MTU PESA LAKINI AMENIPA KIASI PUNGUFU, BADALA YA LAKI SITA AMENIPA LAKO NA NUSU. Voda wakamwambia MUONGOZO UNAMKUTAKA KUHAKIKI KIASI KABLA YA KUMUHUDUMIA MTEJA, ASANTE. Nilicheka kama mazuri vile, hii ilikuwa Mwanza mwaka 2015 hv
Ilimtokea mfanyakazi wangu Mpesa. Kapewa laki sita, mara ghafla imegeuka laki moja. Buku mbili mbili tupu. Unapewa unahesabu, anaziomba ukimpa anarudisha sio zile za kwanza. Ukiwa mzembe imekula kwakoStories ya kutunga haiwezekani. Yani upewe kibunda bila kuzifungua.
Otherwise tuambie ilitokea wapi?
Hugo teller in mzembe , hela ikitoka dirishani hata km hazijafunguliwa ,ajirudisha tena lazima uhesabu......ajali kaziniIko hivi..
Jamaa mmoja alikuwa na Dola za kimarekani elfu kumi (kama milioni 20 za kitanzania). Akafika bank na kwenda dirishani moja kwa moja.
Baada ya kufika dirishani akampa pesa hizo dola ili abadilishe na kuwa pesa za kitanzania. Yule teller akapokea na kuzihesabu pamoja na kuhakiki kama ni halali. Baada ya kuridhika nazo kuwa zipo sawa wakati anataka kuanza kuhesabu za kitanzania yule jamaa akauliza exchange rate ipo vipi?
Akatajiwa akasema ndogo sana naomba dola zangu. Akarudishiwa akajifikiria kama sekunde kadhaa akamrudishia tena yule teller basi nipe hivyo hivyo tu.
Yule teller bila hata kuzikagua tena zile Dola akapokea na kuanza kumuhesabia jamaa pesa zake na kumpatia.
Jamaa akaondoka, kufika muda wa kufunga hesabu anafungua zile dola anakuta ya juu na ya chini ndio pesa halisi. Yaliyobaki yote makaratasi.
Maoni yangu:
Matapeli wawe wanachomwa moto maana wanaharibu maisha ya watu fikiria pesa zaidi ya milioni ishirini unaenda kumtapeli mwenzio ni sawa na kutaka kumuua.
Nawasilisha.
Utailipa tu,segerea inakusubiriMingine inakuwa ni michongo wanafanya hao tellers...
Unapanga tu na mtu mchezo mzima, ushaidi utaonesha umetapeliwa kumbe ni sehemu ya igizo...
Utailipa tu,segerea inakusubiri
Wale huwa wamejipanga mapema, hafanyii mchezo wake pale.kwani siku hizi bank teller wanakaa ndani ya vioo vyenye tinted
visivyoonyesha hata mteja anachofanya nnje ya kioo?
Hivi huyo mbwa ukimbainia kama hapo benki si atajidharau mwenyewe!Ilimtokea mfanyakazi wangu Mpesa. Kapewa laki sita, mara ghafla imegeuka laki moja. Buku mbili mbili tupu. Unapewa unahesabu, anaziomba ukimpa anarudisha sio zile za kwanza. Ukiwa mzembe imekula kwako
Don't trust a customer yule teller ni mzembe, ile ni kazi yake alitakiwa ajiridhishe kwa kutumia mashine kujua kama zimetimia USD 10,000 na hapo hapo angegundua kuwa ni fake.Yeye kapokekea mzigo na kuuweka bila kuhakiki.Hili liwe funzo kwa ma-teller wengine.huyo teller ni mzembe kwa nini asingehesabu
Story yako haijajibu W hizi
Where?
When?
Who?
Wizi kama anaosimulia uliwahi kutokea mwaka 2008 branch mojawapo ya Dar, tena ya benki kubwa tu hapa bongo. Yaani ilikuwa hivyo hivyo ila wale walikuwa na begi liko chini miguuni waliporudishiwa wakainama na kuchukua mzigo feki then wakasema tupatie tu kwa hiyo rate. Baada ya uchunguzi wa CCTV kamera ikabidi asamehewe tu, wizi mdogomdogo unatokea sana ndani ya mabenki na hutosikia kwa vyombo vya habari.
Kwa ujinga wake mwache atapeliwe ili wajinga na wazembe wazidi kupungua!!Iko hivi..
Jamaa mmoja alikuwa na Dola za kimarekani elfu kumi (kama milioni 20 za kitanzania). Akafika bank na kwenda dirishani moja kwa moja.
Baada ya kufika dirishani akampa pesa hizo dola ili abadilishe na kuwa pesa za kitanzania. Yule teller akapokea na kuzihesabu pamoja na kuhakiki kama ni halali. Baada ya kuridhika nazo kuwa zipo sawa wakati anataka kuanza kuhesabu za kitanzania yule jamaa akauliza exchange rate ipo vipi?
Akatajiwa akasema ndogo sana naomba dola zangu. Akarudishiwa akajifikiria kama sekunde kadhaa akamrudishia tena yule teller basi nipe hivyo hivyo tu.
Yule teller bila hata kuzikagua tena zile Dola akapokea na kuanza kumuhesabia jamaa pesa zake na kumpatia.
Jamaa akaondoka, kufika muda wa kufunga hesabu anafungua zile dola anakuta ya juu na ya chini ndio pesa halisi. Yaliyobaki yote makaratasi.
Maoni yangu:
Matapeli wawe wanachomwa moto maana wanaharibu maisha ya watu fikiria pesa zaidi ya milioni ishirini unaenda kumtapeli mwenzio ni sawa na kutaka kumuua.
Nawasilisha.
Kuna kua na mafungu mawili ya pesa! Fungu A linakua kamili na ndiyo unapewa ili uhakiki ukisha hakiki tu lazima afanye jambo lolote lile litakalo mfanya uumpe zile pesa tena na ukisha mpaa tu hapohapo anakwambia ok poa tufanye biashara na hapohapo ana kupa fungu B ambalo ndiyo kanjanja na ukiwa mvivu wa kuhakiki kwa mara ya pili ndiyo imekula kwako hiyo!!Ilimtokea mfanyakazi wangu Mpesa. Kapewa laki sita, mara ghafla imegeuka laki moja. Buku mbili mbili tupu. Unapewa unahesabu, anaziomba ukimpa anarudisha sio zile za kwanza. Ukiwa mzembe imekula kwako
Hata kama huyu Teller ni mzembe kiwango cha lami. Mafunzo yake hayamtumi kufanya alichofanya.Soma Tena uzi
Na ukanikimbia kisa hicho?Danga langu alipigwa kama ivyo kwenye mpesa yake na biashara yenyewe ikafia hapo