Font mzee, zinatutesa sisi wenye macho mazee
Are you a mzee? Okay, just click down here:cant soma the post, font size ni too small invisible
Hahaha, maybe!Mh! Mkumbuke hotuba ya kikwete, alisema kuwa pesa za epa hazikuwa na wenyewe bali kuna mtu alichoma utambi tu
MN,
Nakuwekeeni doc nzima (hizo ni hints tu) ili uweze ku-download na ku-print.
See my 1st post on this topic for updates (when I finish attaching).
mimi huwa sikuzote swali langu ni moja tu!! baada ya kujua haya yote wadau tunafnya nini? maana kina slaa kila siku wanatuambia na sisi tunaendela kulalama hapa JF. What actions can we take?
hivi hatuwezi hata kutega ka bomu kwenye hiyo Bank M? ili kuwashtua watu kuwa tunachuki na mafisadi. at least hata ka bomu ka mafuta ya petroli!!!!
Am told that 'something' is being done by our Govt. They need more info, we offer them.mimi huwa sikuzote swali langu ni moja tu!! baada ya kujua haya yote wadau tunafnya nini? maana kina slaa kila siku wanatuambia na sisi tunaendela kulalama hapa JF. What actions can we take?
hivi hatuwezi hata kutega ka bomu kwenye hiyo Bank M? ili kuwashtua watu kuwa tunachuki na mafisadi. at least hata ka bomu ka mafuta ya petroli!!!!
Am told that 'something' is being done by our Govt. They need more info, we offer them.
That's it!
Hebu hili liinchi letu linafanana na nchi gani hapa Africa? tuna kila kitu ila sisi ni maskini, tazama Mr preside kila kukicha anachukua kapu kulizungusha huko ughaibuni, hebu nini hatima ya Tanzania?
Hata hicho kidogo tunachokitunza hapo BOT wajanja wanapita nacho, da.... sijui wajukuu wetu itakuwaje

Enhee, there you are! Wanaosahau hili litawagharimu mbele ya safari. We can't be fooled anymore!