Bank ipi bora kwa deposit Account.

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,052
49,693
Nataka fungua deposit account, niwe naweka tu vijicent kidogo kidogo bila kutoa.
sio mamilion ndugu zangu.
ni bank ipi itanifaa?
vipi zinakua zinazaliana au still wananikata makato wao?
am student, sina any mradi so ni pesa ndogo tu.
 
Kuna nyuzi kama mbili tatu kuhusu hilo swala na wanyambisi wamelifafanua hili kwa kina, na kila mwamba ngoma alivuta kwake. ukiutafuta utapata idea za uanzie wapi na umalizie wapi. mimi pia nilianzisha mmoja na nikafaidika nao. utafute utakuta evelisingi umo. hii JF mkuu. kila la kheri.
 
kwahiyo brother kitope, you mean niki survey nitaikuta humuhumu? poa
 
Back
Top Bottom