Bank moja hapa nchini, imetangaza kutoa mikopo kwa wateja wake kwa dhamana ya vitu chakavu, vinavyohamishika na visivyo hamishika, akifafanua mtendaji wa bank iyo mpya ya aina yake wameamua hivyo ili kuwapa mikopo watu wote kwa kutumia dhamana yoyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.