Bank governer

Joined
Nov 20, 2016
Posts
39
Reaction score
4
kwenye money paper ya Tz huwa naona saini ya waziri wa fedha pamoja na ya governer. Hivi huyo governer ndo nani na ana mchango gani katika pesa yetu. pia unasomea nini ili uje kuwa governer?
 
Naomba u google neno BOT (Bank of Tanzania) unapaswa uwe mchumi wa kiwango cha juu na uwe umebobea masuala ya Finace (fedha) na economic planning lakini kubwa zaidi ya yote unatakiwa ujipendekeze kwa wakubwa wakuone so taaluma yako sometimes unatakiwa uibane mkiane kukubaliana na matakwa yao
 
ahsante sana bro mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…