Kama umesoma kwa makini post yangu nimeeleza vizuri kabisa kuwa kuna tofauti kati ya mada (topic) kwa maana mjadala na mada kwa maana ya kudharau. Kwa mtamazo wangu mada za siku za karibuni ni zaidi ya mjadala. Zimebeba harufu ya madharau. International forum ni sub-forum ya Jamii forums ambayo ni ya kitanzania. Na nilihoji kama kwenye forum za Kenya watanzania wanaleta huu upuuzi unaoetwa hapa? Inawezekna nikawa na fikra duni kama ulivyopendekeza but you dont need to be a brain surgen kuona kiherehere kilichojaa kwenye hizi mada za hao watu niliotaja.
Tanzania tuna matatizo yetu kama nchi, but we dont need anyone to luctures on that and certainly not a self-praising matonya.
Point ya kwanza. International forum soma maamkuzi yake "African & International Bloggers' home. Politics, Economics & News in General. Let's exchange our views on matters arising in this globe!"
Maybe I am interpretting it wron but that is a welcome to International blogggers (Including africans) to discuss matters politics, economics and news in general. Ninavolelewa hata wakenya basi wamekaribishwa. Na kama ingekuwa tofauti basi naamini mods angekuwa ashazifunga posts zao.
Point ya upuuzi, sijui niseme nini. Hayo ni maoni yako wewe, kwa wengine naona wanachangia, na sidhani wakuu hapa JF ni watu ambao wanaweza kupoteza muda wao kuchangia posts za kipuzi.
Point ya kuwa lectured by outsiders, I have very strong opinions on people who take this stand (but I wont go there). An outsider pointing out tatizo fulani is a welcome act in my books, sometimes it takes an outsider to see the bigger picture. It is an accepted fact all over the world, it the reason why scientists have peer reviews,
politicians have debates (I know there is still a lot to be done on that front) and many more.
We understand the importance of opinions other than ours, whether positive or negative, it is how we grow as a people. Otherwise we are bound to perish in our own ignorance.
Understand though that, by no means am I saying that you should agree with all that is said, or you should even accept it. But by no means should you bury your head behind a border and refuse outside input. No. I am saying listen observe, debate, form an opinion then decide whether to drop it or not but do not close yourself to ideas just by the mare fact they come from an outsider.