I think hapa ni watoto wa mjini zaidi, sehemu kama Turkana ni watoto wangapi wanapata hela kununua lunch? However, I must say in theory, the idea is great, but people need to study it a bit futher. Ni bank gani zinashiriki kwenye hili zoezi? Kama ni zote sawa lakini kama ni Equity basi upo uwezekano mnauziwa mbuzi kwenye gunia!
It is spectacularly short sighted to single out the exception as the weight of your skepticism. Even the children of Turkana are part of the money economy and are bound to become one of the richest in the country thanks to the recent discovery of gold and oil. My point being, In Kenya we do not wait for one to reach 18 years of age to start handling money.[/QUOTE]
Tatizo lako wewe Mwembetayari ni kuamini kuwa wewe unajuwa kila kitu. Infact mtu akisoma most yours posts about Kenya then akaenda Kenya (physically) anaweza kufikiri amepotea njia. You give this picture of a 'developed nation' based on simple statistics. Maybe you should consider the faces behind those statistics!