Mwembetayari
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 333
- 125
- Thread starter
- #61
Sijui nijibu au niangalie mechi kwenye kingamuzi, Huyu bwana sijui nia yake kuweka thread hap JF ni nini kwa kweli, mtu unaokota topic sijui wapi, unapachika hapa JF, lakini ole wako mtu uweke maoni hapa, utakosolewa lugha, sijui hujasoma, sijui nini, kwa kweli naona Mwembetayari hajafahamu nini nia ya ukumbi kama huu. Ndio kuna wengine watatoa maoni ya utumbo, hayo hata usiyape muda kujibu, lakini maoni yanayotoloewa kuelimisha jamii kuhusu hilo swala zima, basi wape watu nafasi ya kutoa maoni yao hata kama yapo upande wa pili. Topics nyingi unazoleta hapa kweli ni nzuri kuelimisha watu lakini sijui kama nipo peke yangu huwa naona vigumu sana kuzifuatilia kwani najua ni ubishi kwenda mbele... Ndugu yangu naona wewe msomi fulani, punguza pupa katika majibu, majibu ya kuendeleza mada ni mema na yataonyesha uelewa wako kuliko pupa za majibu ya kukosoa nani kakosea lugha wapi na wapi...!
Ishu ya nani yupo juu nakumbuka tukibishana darasa la tatu, nani $1 nani £10 haikusaidii ndugu yangu kama haumo kwenye hayo mahesabu...
Ad hominem. I think the problem is you feel offended that I have not agreed with what you are saying and you have resolved to attack me instead of debating the issue at hand. You want to make your postulations unchallenged!
There are about 7 people who agree with me here. Dont get too emotional, and debate the issue dont attack me. Wrong move.