Banguabongo ya leo,kuna kichwa!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Kipofu ana mke tena anampenda sana lkn kiziwi anatembea na mke wake kipofu! Mungu si Athuman,bubu siku moja akafumania bahati nzuri n kipofu alikuwa karibu,tatzo ni maelewano! Hebu niambie bubu afanye nn ili kipofu amkamate kiziwi?
 
mmh, hizi chemsha bongo wengine hatuna maji ya kuchemshia.
 
...mm ni m-bovu sana kwenye masuala ya mafumbo!
 
Kipofu ana mke tena anampenda sana lkn kiziwi anatembea na mke wake kipofu! Mungu si Athuman,bubu siku moja akafumania bahati nzuri n kipofu alikuwa karibu,tatzo ni maelewano! Hebu niambie bubu afanye nn ili kipofu amkamate kiziwi?

chemsha bongo yako inaweza kuwa nzuri kama ukiandika kwa umakini bila papara, kwenye sentensi zako jaribu kutumia alama za Koma, halafu hapo nilipo highlight kwa nyekundu, nashindwa kuelewa kama ni ''na ' ama ''ni ' , otherwise hakuna tofauti kati ya Kiziwi na Bubu. wote ni walewale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…