Bango mlimani city ni hatari kwa madereva

kamojatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2013
Posts
723
Reaction score
689
Bango la matangazo lililopo round about ya Mlimani city lina mwanga mkali sana usiku na linawaumiza sana macho madereva wanaotoka ubungo kuelekea Mwenge. Tafadhali wahusika msisubiri accident itokee ndipo mchukue hatua.
 
Nimepita hapo usiku huu mkuu ni noma. Kesho nikipita tena nitapiga picha. Linawaka kama flash ya camera mkuu.
 
Sio hilo tu hata yale lililopo Ohio na Ally Hassan RD. Yanaondoa concentration kwenye driving ama kwa kuzubaishwa na zile video clips Au kuhisi taa zimeruhusu wakati picha zinapobadilika ni hatari Kwakweli.
Ni kweli kabisa mkuu. Ni muhimu standards zikawepo na kuzingatiwa
 
Hili suala lilishawekwa humu kuhusu hilo ji billboard la mlimani city naona wahusika hawaoni dawa yake ni kwenda kufunika boonge moja la gunia kama yule aliepindua maandishi ya Hollywood kkkk
 
Tukiona kimya tutafute watoto wa mbwa wakalipasuepasue biashara iishe.
 
Kwani mchana wakati ukiwa kwenye uelekeo wa jua kuchomoza na kuzama unachukua hatua gani? Fanya kama vile jua linapokuelekea halafu washa full lights nahisi yaweza kusaidia ila lete picha tuone kwanza.

Halafu kwa nini taa za bar hazina mwanga mkali? Isijekuwa umepata mambo ya bar ambayo hayataki mwanga mkali.
 
😀😀 hapana mkuu sikuwa nimeonja. Picha nitaweka nikipita tena hapo
 
Bango la matangazo lililopo round about ya Mlimani city lina mwanga mkali sana usiku na linawaumiza sana macho madereva wanaotoka ubungo kuelekea Mwenge. Tafadhali wahusika msisubiri accident itokee ndipo mchukue hatua.
Yani kama umeniona mkuu lile bango ni kero aiseh wahusika walifanyie kazi kwakeli.
 
Zipo namba za wahusika kwenye lile bango
Angalia vizuri
Uwajulishe kuhusu Tatizo lako
 
Bango la matangazo lililopo round about ya Mlimani city lina mwanga mkali sana usiku na linawaumiza sana macho madereva wanaotoka ubungo kuelekea Mwenge. Tafadhali wahusika msisubiri accident itokee ndipo mchukue hatua.
Kuna lingine lipo Kilwa road kabla tu ya round about ya Mgulani. Lina mwanga mkali sana. Hawa wanaoyaweka wanajua kupata hela tu usalama wa madereva kwao sio muhimu.
 
Hawa watu wanatakiwa kuchukua hatua haraka iwezekanavyo
 
Back
Top Bottom