Bango lililomkasirisha Magufuli huko Kasulu Kigoma na mbebaji kuishia korokoroni

"SISI HUKU KIGOMA MMETUTENGA SANA KAMA TUKO BURUNDI 2020 MWISHO"

inasemekana maneno haya hayakumfurahisha jpm na kupelekea mwandishi wa bango kulala lumpango badala ya nyumbani kwake,

sijui neno "2020 MWISHO" alimaanisha mwisho wa nini lakini pia sasa hapa sijui alilala lumpango kwa kosa gani?

source: hellotz
Bango zuri lingekuwa: Sisi Kigoma tunaishukuru CCM ni kama tuko Geneva! Asante Rais.
 
Bango lingekua linasomeka Aongoze zaidi ya vipindi Viwili isingekua Shida..Ila 2020!! Pole yake
 
"SISI HUKU KIGOMA MMETUTENGA SANA KAMA TUKO BURUNDI 2020 MWISHO"

inasemekana maneno haya hayakumfurahisha jpm na kupelekea mwandishi wa bango kulala lumpango badala ya nyumbani kwake,

sijui neno "2020 MWISHO" alimaanisha mwisho wa nini lakini pia sasa hapa sijui alilala lumpango kwa kosa gani?

source: hellotz
Magufuli huwa hapendi kuambiwa Ukweli tena inashangaza kuogopa bango wakati anazo kamati za uchakachuaji wa kura na zimeshapiga kura ya 2020 ipo stoo wanasubiri uchaguzi ufike watangaze matokeo kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom