Bango lililomkasirisha Magufuli huko Kasulu Kigoma na mbebaji kuishia korokoroni

Mhuu! Huyu kiongozi hakujipanga kuongoza bari yupo kwa minajili, ya kuwakomowa watu flani! Tena maelekezo anayatoa kutoka kwa kiongozi wa awamu ya nne! (Mkapa) maana wazi inaonekana wako pamoja sana na yule ni dikiteta kiukweli watatuwa tuspo kawa makini! Wakuu wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni hilo povu nahitaji kufua

%
c8e0fe40ee070ffab06a0ca75d1e3737.jpg
 
Kuna jamaa alikuwa na kajibango kachafu kalikuwa kanaishutumu tume ya uchaguzi, ukitizama clip ya tbc vizuri utaliona, mbebaji alikuwa anajifichaficha
 
Kwa Kigoma, usikute huyo aliyebeba hilo bango wala hajuwi kusoma, alidanganywa tu kubeba atalipwa fungu la dagaa na kikombe kimoja cha mawese.
 
Kutotaka kukosolewa ni tatizo kubwa sana kwa bwana yule. Hawezi kuvumilia mawazo tofauti na yake.
 
Back
Top Bottom