Bango lenye ujumbe uliojitosheleza..

Bango lenye ujumbe uliojitosheleza..

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,480
Baada ya kubakwa kwa binti mmoja ambae ni mpiga picha huko Mumbai, India.. Waandamanaji waliingia barabarani kupinga kitendo hicho wakiwa na mabango yenye maneno tofauti ya kulaani tukio hilo.. Ila bango la picha ya hapa chini ndio kiboko.. Maneno mujarabu haya..

raping tool.jpg
 
Ujumbe mzuri.....India kunani jamani kila wiki lazima usikie tukio la ubakaji tena mengine hadi kuuwa...au sababu kuna mageti makali au hamna mitaa mitaa kama ya kona bar na buguruni kama huku kwetu au. Nafikiri India inaweza kuwa nchi ya kwanza yenye matukio mengi ya udhalilishaji kwa wanawake duniani.
 
Mkuu Tamatheo India kuna ujinga sana huo.. soma link hii inaelezea sababu ya tatizo kuendelea kukua.. 10 reasons why India has a sexual violence problem

Ila kwa suala la kujua the worst country ingia hapa Which country has the highest reported incidents of rape? [DATA] | GlobalPost
 
Last edited by a moderator:
Jino kwa Jino!!!!!!!!!!!!!!!!????????

Hatari sana, Mungu Tu atusaidie maana haya ya siku hizi ni Hatri sana
 
Wahindi wa watu......wamechoka kubakwa.........
 
Back
Top Bottom