Habarini wakuu, nahitaji mtalamu wa kutengeneza bango la kuwaka taa kwa mfumo wa herufi tu , herufi kubwa sita.Napenda kufahamu bei na contacts.Nipo dar
Ndio naweza kumsaidia. Kuna kampuni ya wachina inaitwa BOMEI. iko maeneo ya chang'ombe. Nilipokuwa Dar nilikuwa nafanya kazi nyingi za printing pale. Bei zao ni cheap sana. In shaa Allah kesho jamaa anipm nimpatie contact zao. Pili, kuna mshikaji wangu designer yuko pale Dar... Pia naweza kumpatia contact zake na atampa ushauri mzuri zaidi. Kazi nyingi mnazoziona hapo mitaani dar za matangazo ya kuwaka taa zinaprintiwa pale Bomei... And it's very cheap
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.