Bango la Dr Slaa Lazua Mgogoro UKAWA; CUF Watoa Onyo!

Bango la Dr Slaa Lazua Mgogoro UKAWA; CUF Watoa Onyo!

Mkigoma ni mpambe wa Zitto sasa anawajaribu kugombanisha Ukawa.Watu kama hawa ni wa kuwapuuza tuu.
 
Zanzibar leo ni gazeti la serikali ya zanzbar kwa hiyo lina mahaba na ccm lakini pia aliyeleta Jf ni mnazi wa zitto kwa hiyo unajua tu hakuna jema kutoka kwake kuhusu ukawa, ina maana source zote mbili haziwezi kuaminika
 
Wenye akili tulishachungulia nakubaini kuwa, hakuna lolote pale UKAWA zaid ya madaraka tu.

Ajenda zao ktk kumkomboa Mtanzania ni ndogo sana (au hakuna kabisa). ni muendelezo wa Ngonjera zilezile.

Tunataka Rais mwenye maadili na Roho safi(ambaye hata kwa macho ya nyama tunasadiki hivyo).

Kwa UKAWA sijaona kimsingi. hata wale niliowadhania, wamepigwa kikumbo(mfano Mbatia).

Kwa CCM, i'm sure, #Pinda deserves it.

Let the movie get on.

Mungu Ibariki Tanzania.
Amen!
Tumechoka! Wapigwe tu!
 
Huunimwaka wa wazalendo, na bado kitafahamika tu, kunawalio beza lakin watapima ktk akiri zao wapi pa kweli na wapi ni maigizo ya kutaka madaraka
 
Napenda sana Dr. Slaa agombee urais. Itaongeza cv yake kuwa aliwahi kugombea urais mara 2
 
Kama hizi zako pia zinaitwa akili basi sishangai kwa nini ndani ya chama kikubwa kama CCM hamjamteua mgombea Urais takribani miezi 4 kabla ya uchaguzi na wote mnaona ni jambo jema tu mnachekelea!!

Tatizo ni nini?? Mnaogopa kitu gani nyie CCM...?? Mbona kila siku mnajinasibu kuwa nyie ni chama kubwa nchini yenye watu kibao wenye sifa za kukubalika kushika nafasi yoyote nchini...Imekuaje tena??

Si ajabu mnavyovizia vizia hivi kutaja wagombea wenu vile vile midahalo ya wazi pia mtaikacha kama kawaida yenu...

Bora hata UKAWA wanao watu ambao wako tayari... nyie mnasubiri nini...Maboresho ya daftari wapiga kura, ripoti ya ZZK/ACT Wazalendo...au nini??

Mkae mkijua kuwa mwaka 2015 wananchi hawapo tayari kubambikiziwa au kuuziwa Rais kwenye gunia...!!

uko sahihi sana UKAWA NI MAIGIZO TU.
 
Back
Top Bottom