haya maneno yaliandikwa na viongozi au mashabiki?
Chadema wamevaa joho la UKAWA ,CUF msikubali.
Kama hizi zako pia zinaitwa akili basi sishangai kwa nini ndani ya chama kikubwa kama CCM hamjamteua mgombea Urais takribani miezi 4 kabla ya uchaguzi na wote mnaona ni jambo jema tu mnachekelea!!
Hatutaki rais dhaifu kama pinda ha hatopata kura asilani.
acha ujinga Pinda yupi? Waziri mkuu analia baada ya albino mmoja kukatwa mkono waka anauwezo wa kutoa amri walifanya kitendo wakafahamika,mbona wauaji wa RPC Mwanza tuliambiwa wanematwa,kwa kulia lia huko je tukivamiwa Rwanda itakuwaje? Wanasiasa wenzie wapigwe tu
mkuu ni kwel walivosema hawa vyama washiri vya cuf na vngne kwamba, makubariano ya umoja huo ufuatwe. Ila sasa, kuzuia hisia za mashabiki kwa mtu wanayempenda na kumshabikia ni vigumu na ni wazi kuwa, wanachama wa chadema walowengi hawayajui hayo makubaliano. Hivyo kukituhu chama kwamba kimekiuka makubaliano bila kujua je nimashabiki, au chama kwa ujumla ndo kimefanya hvo si jambo jema kwa umoja huu adhimu.Cuf na wenzao kama wataleta ushabiki kwenye swala la mgombea uraisi
...kuchukua dola wasahau..ukweli ni kwamba cdm ina nguvu sana..sasa unawezaje kusimamisha mgombea toka chama kidogo
Huyu mzee kachoka sana.ApumzikeHatumuhitaji Slaa,aendelee kula hizo hela za chadema.Eti safari za nje zifutwe wakati yeye mwenyewe katokea huko nje,tena hana tofauti na hao ambao kila siku wapo angani kwenda huko nje.kwa ufupi ni kuwa Slaa #Hajitambui
vipi kuhusu mkono wake tangu alipoanguka umepona kweli? Tunahitaji rais mwenye afya njema kesho akistaafu afanye kazi nyingine kama alivyokuwa mwl Nyerere
huna tofauti na hao chadema walompokea slaa kwa bango.Wenye akili tulishachungulia nakubaini kuwa, hakuna lolote pale UKAWA zaid ya madaraka tu.
Ajenda zao ktk kumkomboa Mtanzania ni ndogo sana (au hakuna kabisa). ni muendelezo wa Ngonjera zilezile.
Tunataka Rais mwenye maadili na Roho safi(ambaye hata kwa macho ya nyama tunasadiki hivyo).
Kwa UKAWA sijaona kimsingi. hata wale niliowadhania, wamepigwa kikumbo(mfano Mbatia).
Kwa CCM, i'm sure, #Pinda deserves it.
Let the movie get on.
Mungu Ibariki Tanzania.
Amen!
Mkuu Mingoi asalaam alaikum,
Hawa UKAWA hawatafika mbali wataanza kutukanana sasa Hivi na watasema CCM ndio chanzo maana wakifarakana ndio jibu Lao kuu
CUF na chadema kamwe hawawezi kuwa wamoja hata siku Moja, sasa CUF imeungana na CCM kuendesha dola na pia ikaungana na Chadema kuunda UKAWA wenye nia hiyo hiyo Ya kushika dola Kweli huu sio unafiki Kweli?
CUF kuna tofauti gani na wale dada zetu wa Ohio, Shekilango na Kinondoni?
Huyu mzee kachoka sana.Apumzike