DURUYAPILI
Senior Member
- Apr 23, 2015
- 132
- 47
Mgombea wa ukawa ni prof lipumba asiyetaka atoke kwenye ukawa
Jaribu k2mia akili ambazo zitalinufaisha taifa. Huyo lipumba awe mgombea urais kwa mchakato upi?. Jiongeze basi.
Mgombea wa ukawa ni prof lipumba asiyetaka atoke kwenye ukawa
wewe kama nani...kwani hata nyie act ni sehemu ya ukawa????Mgombea wa ukawa ni prof lipumba asiyetaka atoke kwenye ukawa
Mgombea wa ukawa ni prof lipumba asiyetaka atoke kwenye ukawa
Kama hizi zako pia zinaitwa akili basi sishangai kwa nini ndani ya chama kikubwa kama CCM hamjamteua mgombea Urais takribani miezi 4 kabla ya uchaguzi na wote mnaona ni jambo jema tu mnachekelea!!
Vile tumia akili kuwaza hao walioandika ni wapenzi wa chadema na sio wasemaji wa chedema, na mabando ya lowassa utasema ni ccm wamesema? Wakati nape kila leo analalama, make more sense than stupidy mistake
Kama hizi zako pia zinaitwa akili basi sishangai kwa nini ndani ya chama kikubwa kama CCM hamjamteua mgombea Urais takribani miezi 4 kabla ya uchaguzi na wote mnaona ni jambo jema tu mnachekelea!!
Lowassa na ambition ya kumwaga fedha chafu ili awe rais,slaa na uongo ili awe raisi
Babu kachoka lakini, any way mwache ajaribu bahati yake Ya mwisho ambayo pia ataangukia pua na 2020 atakuwa katimiza miaka 98.
Nimeisoma habari kwa umakini sana,nikaangalia bango kwa makini sana.nikagundua wanaolalamika sio CUF wala ukawa!Tena nashauri kila chama ktk ukawa kionyeshe hisia sana juu ya mgombea wao,halafu badae wanachagua mtu mmoja tu,itakaa vizuri sana.
Lowassa na ambition ya kumwaga fedha chafu ili awe rais,slaa na uongo ili awe raisi
Wana Ukumbi,
Kurejea kwa Dr Slaa kutoka Marekani lilikuwa ni tukio la furaha kwa wapenzi wa CHADEMA na katika kuonyesha hisia za furaha yao baadhi ya mashabiki wameenda mbali zaidi na kuivuka mipaka!
Imeelezwa na mmoja wa viongozi waandamizi wa CUF kuwa, wameshuhudia mabango yakisomeka "Dr Slaa ndiye rais wa awamu ya 5 wa Watanzania" siku ya mapokezi ya Dr Slaa katika viwanja vya mwalimu JKN!
Mtoa habari aliongeza, "Kwa kuzingatia makubaliano tuliojiwekea UKAWA, mabango yaliyokuwa na maneno hayo ni mkakati wa CHADEMA katika kushinikiza Dr Slaa asimamishwe kwenye nafasi ya mgombea urais kupitia UKAWA, kinyume kabisa na tulichokubaliana kwenye kikao."
Kwa mujibu wa makubaliano ya UKAWA yaliyofanyika Zanzibar ni kwamba, mjadala kuhusu nani atasimama katika nafasi ya urais usogezwe mbele ili kutoa muda kwa vyama washiriki kutathmini nani anafaa kuwa mgombea wa UKAWA.
Viongozi hao wa CUF (Zanzibar) wameandika barua makao makuu ya CUF kumtaka mwenyekiti taifa kuwaonya CHADEMA kuhusu kuheshimu na kulinda makubaliano ya vikao ili kuendeleza umoja wao huo wa UKAWA pasipo migogoro isiyo ya lazima.
Source: Zanzibar leo
Bango lililozua mgogoro ni hili hapa chini:
View attachment 246513