Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,280 Reaction score 1,296 Nov 30, 2014 #21 Sangarara said: Mkuu Naona unatengeneza maazimio yako sasa. Na ....... Click to expand... Leo mapumziko, unaweza kuta jamaa anapata ya 10!
Sangarara said: Mkuu Naona unatengeneza maazimio yako sasa. Na ....... Click to expand... Leo mapumziko, unaweza kuta jamaa anapata ya 10!
K Kinombo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2007 Posts 331 Reaction score 34 Nov 30, 2014 #22 ntamaholo said: Adhimio sio sahihi bali ni Azimio. itakuwa umesoma wakati wa j.k. na mkapa waliozika Azimio la Arusha. Click to expand... Azimio la Arusha ni wakati wa Mwinyi huko zanzibar
ntamaholo said: Adhimio sio sahihi bali ni Azimio. itakuwa umesoma wakati wa j.k. na mkapa waliozika Azimio la Arusha. Click to expand... Azimio la Arusha ni wakati wa Mwinyi huko zanzibar
HNIC JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 1,898 Reaction score 2,202 Jun 19, 2017 #23 Naamini kuwa RAIS MAGUFULI ni member wa JAMIIFORUMS
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 13,231 Reaction score 18,399 Jun 19, 2017 #24 HNIC said: Naamini kuwa RAIS MAGUFULI ni member wa JAMIIFORUMS Click to expand... Hii tabia ya kufukua fukua si aliishakataza? Ona sasa umemwaibisha mtoto wa mkulima!
HNIC said: Naamini kuwa RAIS MAGUFULI ni member wa JAMIIFORUMS Click to expand... Hii tabia ya kufukua fukua si aliishakataza? Ona sasa umemwaibisha mtoto wa mkulima!