Bango: Huu si Ukabila na Ukanda?

Bango: Huu si Ukabila na Ukanda?

hao wote wana madeni ya finka na praid yani hata awajui kesho yao itaishaje. Wengine hapo ndugu zao wapo vitandani wanashndwa pesa za kuwapeleka hosp. Nata ukisoma picha hapo utagundua kuwa ni walemavu wa akili si wakuwalaum bali tuwaonee huruma si unaona vichwa vyao vilivyo vidoga sasa piga hesabu ubongo wao utakuwa na ukubwa gani?

Si kosa lao wanahitaji kufunguliwa fikra zao.ULEMAVU WA FIKRA.

Tuelekeapo kuna hatari sana, tayari sumu imeshapenyeza inasubiri tu IBILISI apaze sauti yake na kuhamasisha sumu hii. Ilianza tartiiib, sasa inapanuka bayana tena dhahiri kabsaaa

hao wametoka mikoa ya jirani check yanavyoona aibu mgamba kweli kazi ipo halafu shida tupu zimewajaa wanawaza buku 5 za posho tu shame

angalia jamaa the way alivoshika BANGO unaona kabisa ni ka ujira flani hvi mwisho wa siku anapewa 500 ya soda

we ritz...huyo kijana kama anapenda amani acngechomoa bendera za wa2...apart frm dat,nani alishuhudia wakimmwagia?

Kila mtu anajua kuwa hata mbwa mwoga uwa anangome yake,unaweza ukakutana nae barabarani ukamtimua belenge mpaka nyumbani kwao akifika Nyumbani kwao hakika tegemea hakubadilikie.

Ndio hilo bango ni ujumbe dhahiri kwa CHADEMA,lakini killa mmoja anajua kunja maeneo fulani kutokna na tabia za jamii fulani imekuwa ni lahisi kwa vyama fulani kushika hatamu maeneo hayo.Ni dhahili CCM kiko Nchi nzima,lakini kwa sasa kuna baadhi ya maeneo vyama baadhi vimeanza kukubalika na kuwa na idadi kubwa ya wanachama.Chadema imekubalika sana mikoa ya Arusha,Kilimajnaro,Mara, Mwanza,Kigoma na Mbeya, wakati CUF imeaanza kukubalika sana maeneo ya Pwani na Zanzibar.

Hivyo kwa mikoa ya SHINYANGA NA TABORA hakika hizo ni Ngome za CCM kwa kiwango kikubwa sana,Hivyo bango ilo japo kwa chama dola ni vyema ikawa makini kuangalia baadhi ya maneno na matamshi kutoka kwa kada wake,kwa kuwa wao ni chama tawala hivyo ni vyema kuwe na sheria zake kwenye chama ili kutoa malengo ys kipi kitamkwe wapi na saa ngapi

umejichanganya kidogo mkuu, shinyanga magamba haikubalik hata kidogo, km sikosei magamba wana majimbo 2 tu likiwapo la chenge na lile alilochakachua makamba wakashinda kwa kura 1

Toa maoni yako.

nimewasiliana na jamaa yangu aliyeko igunga anadai wote walioshika hilo bango waliingia juzi usiku kutoka iramba singida.

Kila mtu anajua kuwa hata mbwa mwoga uwa anangome yake,unaweza ukakutana nae barabarani ukamtimua belenge mpaka nyumbani kwao akifika Nyumbani kwao hakika tegemea hakubadilikie.

Ndio hilo bango ni ujumbe dhahiri kwa CHADEMA,lakini killa mmoja anajua kunja maeneo fulani kutokna na tabia za jamii fulani imekuwa ni lahisi kwa vyama fulani kushika hatamu maeneo hayo.Ni dhahili CCM kiko Nchi nzima,lakini kwa sasa kuna baadhi ya maeneo vyama baadhi vimeanza kukubalika na kuwa na idadi kubwa ya wanachama.Chadema imekubalika sana mikoa ya Arusha,Kilimajnaro,Mara, Mwanza,Kigoma na Mbeya, wakati CUF imeaanza kukubalika sana maeneo ya Pwani na Zanzibar.

Hivyo kwa mikoa ya SHINYANGA NA TABORA hakika hizo ni Ngome za CCM kwa kiwango kikubwa sana,Hivyo bango ilo japo kwa chama dola ni vyema ikawa makini kuangalia baadhi ya maneno na matamshi kutoka kwa kada wake,kwa kuwa wao ni chama tawala hivyo ni vyema kuwe na sheria zake kwenye chama ili kutoa malengo ys kipi kitamkwe wapi na saa ngapi

umejichanganya kidogo mkuu, shinyanga magamba haikubalik hata kidogo, km sikosei magamba wana majimbo 2 tu likiwapo la chenge na lile alilochakachua makamba wakashinda kwa kura 1

Huo ni ubaguzi. Bila kujali kabila, mkoa, kanda, au kitu kingine chochote, hakuna kitu chochote kinachohalalisha watu fulani wanastahili kufanyiwa vurugu. Kuandika bango kama hilo ni ujinga na kutotumia akili.

Mnadhani hapo wataandika mabango ya aina gani??kwa sababu kwanza wamevalishwa sare za bure hapo na wameridhika sana, sishangai kwa sababu wote hawajui wanachokifanya na hawajui nchi yao inaendelea vipi.....

jamaa mshkabango mwenyewe kakonda kweli, inaonekana anaumwa anauma CCM!

Hapana mnalikuza swala hili bure tu. Hao walioandika na kubeba bango hilo siyo wananchi wa kawaida wa Igunga bali ni makada wanaolipwa na CCM kwa kazi za namna hiyo. Wananchi wa kawaida wa Igunga na wanyamwezi wote kwa jumla hawana ukabila kabisa, ndiyo maana wamewahi kuwapigia kura nyingi watu kama Bashe, Rostam na Aden ambao siyo wanyamwezi.

Tayari wamesha sarenda ARUSHA, KILIMANJARO, MWANZA, MBEYA, IRINGA etc hii si dalili neri kwa chama tawala cha nchi yote

hizi picha siamini kama hawa ni wapiga kura halisi wa Igunga, labda

Wametumia uhuru wao wa kikatiba kueleza ujumbe wao kwa hiyo sidhani kama wana kosa. Makosa makubwa ni kwa viongozi wa Chadema kwa kuwakaririsha watu waamini kwamba vurugu ndiyo suluhisho la matatizo yetu.

Sasa kila mtu anajua kuwa Arusha ndiyo mji unaoongoza kwa vurugu na maandamano Afrika Mashariki kiasi cha kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea mji huo na hivyo kupunguza pato la taifa linalotokana na utalii. Hivi niwaulize MAGWANDA mnaitakia mema hii nchi kweli? Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?

Utalii umepungua kutoka na mipango mibovu serikali ya CCM pamoja na huduma mbovu na kukithili kwa rushwa katika viwanja vya ndege hadi katika idara ya uhamiaji, na sio sababu ya maandamano ya Arusha. Mbona Kenya kulikuwa navurugu kubwa mara100 zaidi ya yaliyotokea Arusha lakini bado ndo nchi inayoongoza kwa utalii katika kanda hii??? Uzembe na umbumbumbu wa jeshi la polisi katika kushughulikia matatizo madogo kama maandamano nayo ni sababu ya kupunguza utalii, manake inadhihirisha wazi kuwa hawawezi kulinda amani.

wajinga ndio waliwao, waache.
Hawa wana laana ya utumwa, walichukuliwa utumwani na Mwarabu, wakachukuliwa tena utumwani na CCM na kibaya zaidi sasa ni watumwa wa FIKRA
Umenikumbusha njia ya kati enzi za biashara ya utumwa

Kweli CDM ni watu vurugu sana wamenisikitisha sana wamemwagia Tindikali kijana mpenda amani wa Igunga

Acha ku2mia makalio kufikiri kijana. Je,una ushahidi waunalolisema? Je,ulikuwepo eneo la tukio? Toa ushaidi thabiti kuwa cdm walifanya huo uovu,kwani ni cdm pekee wanawania hilo jimbo? Be a great thinker rather than a stupid thinker,think big.

CCM imefilisika kisiasa ndio maana sasa wanatumia mbinu chafu ya kupandikiza chuki za kikanda kwa maana ya "uwagawnye uwatawale" - "divide and rule" wasichokijua CCM ni kwamba mbegu hii ya chuki kati ya watanzania kuipanda ni rahisi ina madhara makubwa sana na kuiondoa ni vigumu! Bahati mbaya mabo kama haya mwisho wake ni baadhi ya hawa viongozi kuwafikisha mahakama ya kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC -The Hague. Watanzania tuliosoma tupo na tunaona hawa wana-CCM wanavyopandikiza chuki lakini... tunakataa kutawaliwa nao na iko siku!

Similar Discussions

Back
Top Bottom