wakuu mnanishangaza! Eti tunawashutumu wachina? Tatizo ni sisi wa-tz na maafisa wetu. Kwani hawalioni hilo tangazo? Ila sishangai sana kama meneja wa uwanja wa ndege kigoma aliweza kukaa na lile tangazo, itakuwa hawa? Twendeni tu, tutafika tu! Wilayani kwetu nako tulikuwa tumeandika "accountant officer" nikawa nimelewa kabisa, sijui ni mimi tu?