frank lujaju
Member
- Aug 21, 2011
- 58
- 4
Kuna jamaa mmoja kaikoleza kichizi bangi si ikamtuma avue nguo zote na akaenda kwenye kioo kujitazama akajiona kama kavaa suti akatoka kama alivyo mpaka kwa masela wake kwa kujidai kweli kweli,akawauliza vipi mnaonaje suti yangu imenikaa eeh,mvuta bangi mmoja akajibu "mwanangu suti imekukaa kichizi ila mbona tai umefunga chini sana man".
Te te te te te te ............
Te te te te te te ............