and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,114
Mbona wengine wakivuta bangi ndo wanapiga kazi hatari? Why wengine iwaharibu?Bangi imekuwa na athari Arusha vijana wanajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bange, nguvu kazi ikapotea huku Viongozi wanaangalia. Crime rate Arusha ni kiashiria kuwa Bange ndo chanzo
Hoja yako Ni ipi?Mbona wengine wakivuta bangi ndo wanapiga kazi hatari? Why wengine iwaharibu?
Ni counter argument pale uliposema nguvu kazi ya taifa inapoteaHoja yako Ni ipi?
Pole Sana bangi imewafanya vijana hamjithamini Tena. mmevuliwa ubingwa kwa tamaa ya pesa kidogo ya kununua bangiInaonekana kuna kitu umefanywa na hao vijana unaowaita wavuta bangi. Maana bangi na 0713 wapi na wapi!! Hebu fafanua vizuri wamekufanya nini hawa vijana tujue namna ya kukusaidia.
Mkuu una maanisha nini hapo unaposema kama watakua wamemuachia magonjwa?Umetobolewa ugali na mateja unasingizia bange.
Kaa kimasta pia kacheki afya yako kama hao mateja wamekuachia magonjwa.
Acha umbea,kwani kwa hapa Tanzania arusha pekee ndo wanavuta hizo bangi??mbona mateja kibao wamejazana dar kwani hao mateja wanasaidia taifa kitu gani??au hujui kuwa mateja wakikosa madawa wanafirwa,hilo umelifumbia macho??au vIjana wanaokunywa pombe kali huko mikoani wanaisaidia nini taifa??kuna mbunge alisema bangi hiararishwe kwani katokea arusha??Acha chuki za binafisi kwa arusha,hii tabia inaanza kuleta ukabila sasa tusipokuwa makini tunaenda kuwa kama kenya au wengine huko,mleta mada uwe unafanya research kabila ya kuandika utumbo wako wewe unaona arusha ndo wana vuta bangi sana??Acha umama weweBangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi
Gave him fact haache uwaki,hawajui maana ya cannabis sativa huyo kakaririAcha usnitch, bangi hauhusiki na uhalifu
Yani wewe kumalo sana sasa chuki yani nini kwa arusha??utakuwa umelegezwa tuziiiUtasikia ujanja ...ujinga mtupu vijana hawana future unakuta jamaa jitu kubwa 35 uhuni hata familia haliwezi kulelea ,kuvuta mabangi kutelekeza watoto basi ..likishavuta liko high linajikuta janja kumbe ujinga mtupu..sio vijana wa Arusha tu kila kona Kuna ujinga huo
Hawajui manBangi inasingiziwa sana na watu wasioijua Kama mtoa mada, pole sana kwa kuwatunuku hao mateja bila kinga
Anazingua kayaAcha umbanga wee chali, achana na life eti areef, amna chali oote apa chuga anakula mpepe alafu apige mbishe za Kifala. Acha usnichi wee chali ..tutakugeuza mboga ohoo