Bangi mchezo

Bangi mchezo

Kyalow

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,560
Reaction score
2,610
Bangi si mchezo!
Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo!
Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti!
then akaenda kama alivyo kwa masela wenzake akawauliza vp suti imenikaa? Mvuta bangi mwenzie akamwambia "imekutoa kinyama ila tai umeifunga chini sana".
 
tabu hiyo tai ya chini ina rangi moja so msela asingemechisha
 
Nimecheka sana mpaka masela hapa wananishangaa! Hili jukwaa si mchezo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom