Bangi kuwa deal duniani..

Bangi kuwa deal duniani..

Vitabu vyetu Biblia na Quran vinasemaje kuhusu bangi Mwenye kujua anijuze

Genesis 1:29- And God said, Behold, I havegiven you every herb bearing seed, which [is] upon the face of all the earth, and every tree, in the which [is] the fruit of a tree yielding seed; to you it shall be for meat.

Genesis 9:3- Every moving thing that liveth shall be meat for you; even as the green herb have I given you all things.
 
Umesema SIGARA SAWA, lakini KITU CHENYE MADHARA HAPANA!

Sijasema kama sigara sawa, nimesema sigara ni makruh yani inakirihisha baadhi ya watu kwa harufu yake.

Na nkamalizia kama kitu kina madhara yanoweza kupelekea maradhi au kifo basi ni vizuri kuachana nacho. Basi hata hio sigara yaweza ikaingia kwenye kundi hilo sio kama haina madhara.

Maana: sigara unapoivuta palepale haileti madhara kama pombe unapokunywa palepale.
 
Kama kichwa chako soft km lotion uc smoke widi mana utadata acha niggerz wale vi2 wenye mioyo na mapafu ya Ki accanjeed widi tamu bwana
 
Back
Top Bottom