Sio kila king'aacho ni dhahabu...
kwetu hapa hata ikiruhusiwa, serekali sikivu itwaambia wakulima hawawezi kilimo bora wawekezaji ndio watagewa mashamba yao....!
msemo wa watu wa zamani sana huu sasa ivi not applicable!
Marijuana is safer than alcohol
yaani huku kwetu itakuwa ngumu, mimi nafikiri serikali ingejipanga kwa hili zao, tuwe expoter wakubwa...umeona mbali mkuu, we fikiria imeingiza dollar 5million kwa jimbo la Colorado in a week
na mzigo uliwaishia tu, hii kitu ni mali sana, sema sasa athari za ubepari ziliadhiri hili zao, ni mali hata zaidi ya Tumbaku
Mmmh!! nahitaji kujiridhisha kwanza kwa kufuatilia madhara ya vilevi hivyo.
Au nikuulize, huo usalama wa majiruana upo wapi?
Kwa hiyo sasa hivi kila kinachong'aa ni dhahabu?
Halafu watu wa zamani sio watu?