Bangi kuwa deal duniani..

Bangi kuwa deal duniani..

Mkuu kiwatengu shukrani!

Lakini ukiangalia hicho kifungu cha pili hususani huu mstari "Federal agencies report that 40% of violent crimes in the U.S. are linked to alcohol use, whereas those same agencies report that marijuana users usually do not commit violent crimes" utagundua kuwa hiyo case study sio dhahiri kwetu huku.

Watu wanaotumia ndumu huku ni wakorofi kuliko hata hao walevi, sasa huoni kuwa tutaongeza wimbi la matukio ya uhalifu au vurugu.

(Zingatia kuwa athari za marijuana hutokea zaidi kwenye mfumo wa fahamu)

ni wakorofi kwa sababu ya nature tu mkuu, huku kesi ya bangi inachukuliwa kama kesi ya madawa ya kulevya.

Afu ujue wanaovuta bangi kwa huku kwetu, ni wengi ila hawajulikani, hao wanaojulikana ni wachache tu!
ndiyo maana tuna wachukulia kama vibaka na watu wakorofi.
 
Jibu na hilo swali la kwanza pia...

Sasa kama ni watu na sisi ni watu kwa nini ushangae nikitumia msemo uliotumiwa na watu wenzangu!!!

basi yaishe mkuu isiwe tabu ila hao watu wa zamani wana mawazo ya kizamani pia!
 
bangi some people take as medication others run mental disorder . haifai kwa matumizi ya baadhi ya watu
 
ni wakorofi kwa sababu ya nature tu mkuu, huku kesi ya bangi inachukuliwa kama kesi ya madawa ya kulevya.

Afu ujue wanaovuta bangi kwa huku kwetu, ni wengi ila hawajulikani, hao wanaojulikana ni wachache tu!
ndiyo maana tuna wachukulia kama vibaka na watu wakorofi.

Lakini pia tukumbuke wenzetu wamefanya research hadi kufikia kuipitisha wakati sisi tunatafuta bangi ya arusha ikiaminika ni kali wenzetu hilo jani wanatumia kutibia wagonjwa kama cancer huwapunguzzia maumivu kwa asilimia kubwa,pia nagonjwa kma seizure na mengine jani lisilo kali ndo linauzwa mitaani na ni ruksa kuvuta ktk majimbo mengi marekani ikiaminika haina madhara so yapaswa tujipange kwanza.kwa hapa kwetu ni bora itumike kama dawa tu maana ikipitisha watt wetu watakuwa vichaa
 
Hata hapa kwetu iruhusiwe tu..haina madhara zaidi ya faida...
 
Hilo jani ni sacred.

tz should legalize it mapema so as to reap faida zake mapema,

sababu mwisho wa siku litatumika tu duniani kote,

iruhusiwe mapema meanwhile in the short run period tupate ma supernormal profit kwa ushuru wa ndani na exports,

Wengine wakija kurupuka huko late in the long run period sasa sisi tunakuwa tunawashinda kwa experience na kila kitu.

Marekani wajanja sana washaona hilo, waafrika tunasubiri weupe wote walegaliza ndio tuige na sisi, na watatuuzia hadi zitazovunwa hapahapa, si hawa viongozi wetu wanagawa gawa ardhi kwa wageni, mtu anatoka na ujuzi wake huko anayapanda hapa anatuuzia, chezea watu wajanja, wametukataza tusitumie sasa hivi haohao wanaruhusu, jiulize kwann, ts all abt money mazee, they foresaw.

Na bangi haivutwi tu ina matumizi kibao, mia kidogo apart from smoking.

To make long stry short, me ni large scale pusher, therefore yeyote ataehitaji popote pale tz nitadeliver hadi mlangoni, pm me if interested.

Niinbox tutete kidogo mkuu.
 
Mkuu kiwatengu shukrani!

Lakini ukiangalia hicho kifungu cha pili hususani huu mstari "Federal agencies report that 40% of violent crimes in the U.S. are linked to alcohol use, whereas those same agencies report that marijuana users usually do not commit violent crimes" utagundua kuwa hiyo case study sio dhahiri kwetu huku.

Watu wanaotumia ndumu huku ni wakorofi kuliko hata hao walevi, sasa huoni kuwa tutaongeza wimbi la matukio ya uhalifu au vurugu.

(Zingatia kuwa athari za marijuana hutokea zaidi kwenye mfumo wa fahamu)

Mkuu hapa Tanzania watu wanakula mjani hata usiowategemea, wanajificha sana kwa sababu tu jamii isiwaone namna gani, lakini hao vibaka wanajulikana kwa sababu ya mazingira wanayovutia! Kuna madaktari, wanasiasa wenye nafasi kubwa, wafanyabioashara wakubwa wanaoheshimika wanakula kijiti chinichini hawajulikani, tena hao ndiyo wengi hasa. Nakumbuka enzi tuko shuleni tulikuwa tunasoma na dogo mmoja baba yake ni figure kubwa sana hapa Tanzania, anasema baba yake alikuwa na chumba cha kusomea ambacho haruhusiwi kuingia mtu, na mzee akiingia mle haruhusiwi kusumbuliwa kwa namna yoyote, siku moja ilitokea emergency ikabidi dogo aende kumwita mzee, akaingia bila hodi....akamkuta mzee amekaa kwenye recliner anaswing tartibu na moshi mzito wa jani!
Hebu fafanua kitaalam zaidi hiyo sentensi yako ya mwisho!
 
Legalize marijuana.

Cigarette smoking is dangerous, hazard to ur head
 
ni wakorofi kwa sababu ya nature tu mkuu, huku kesi ya bangi inachukuliwa kama kesi ya madawa ya kulevya.

Afu ujue wanaovuta bangi kwa huku kwetu, ni wengi ila hawajulikani, hao wanaojulikana ni wachache tu!
ndiyo maana tuna wachukulia kama vibaka na watu wakorofi.

hata dogo langu anavuta na ni msomi hakuna anayejua
 
Vitabu vyetu Biblia na Quran vinasemaje kuhusu bangi Mwenye kujua anijuze

Kila chenye kulewesha hakifai kutumia, hata kama utatumia kwa uchache tu.

So km bangi inaleta nishai km ya vilevi vengine basi haifai kutumia.

Laa km ipo km sigara tu basi ni makruh, yani usiitumie sehem ambazo unahisi utakirihisha wengine km kwa harufu yake nk.

Lkn mwisho kabisa angalia jee haina madhara kiafya? Chochote chenye madhara hakifai kutumia, mfano km kitapelekea maradhi, au kifo

Mwenyezi Mungu katuumbia vingi vyenye faida kwa nn basi tutumie vyenye kutudhuru?
 
\
Holly Shit!!! Unajua ulishokiandika lakini Mkuu hapo kwenye red?
 
Back
Top Bottom