1. Ulichoandika namba moja ni uongo mkubwa - bangi is very addictive (hebu acha kuvuta siku moja utajua)
2. Hizo moods hata zikiwa evil ones - bangi inaziongeza na hivyo huongeza uhalifu katika jamii
3. hii ya kumbukumbu umetunga wewe - madhara ya bangi ni zaidi ya kumbukumbu
mwisho, nakushauri uende kwa daktari, kama una sababu ya muhimu kutumia bangi atakuandikia na utavuta ukiwa sehemu maalum sio katika public
Kubishana na ganja smokers hakuna mwisho. Ushauri ww unae ona bangi ni nzuri na ina manufaa kwa maisha yako anza kuielimisha familia yako pamoja na watoto wako mvute bangi weee na muendeleze kizazi chenu cha wavuta bangi. Tunaopinga bangi tuendelee kuipinga kwa nguvu zote hasa kwa watoto na wadogo zetu walio chini ya uangalizi wetu.
ushawahi kujiuliza kwanini wavuta bangi wanapenda kuchora picha ya meli kubwa ukutani,kwenye madaraja,mifereji n.k???
Je,umepata jibu gani?
Pia kwanini wanasema bange inanoga kuvuta sehemu za wazi kama vile viwanja vya mpira,vijiweni na sio ghetto?au ukiwa peke yako?
Ukijibu hayo kwa ufasaha utaelewa athari na madhara ya bange
Je unajua kwamba Bob Marley alikuwa mtumiaji mkubwa wa bange?Nchi ya Jamaica ina watumiaji wengi zaidi wa bange na ni nchi ya amani sana?Je unajua wanaume wanaoonekana 'wanaume'kwa utulivu na kutokuwa na hofu wengi huvuta bangi?je unajua kuwa bangi hukufanya uwe na nguvu nyingi na kukusaidia kupunguza kile mnachoita nyama uzembe hata kama unakula debe la chips kila siku?je unajua ukivuta bangi unaweza kuishi muda mrefu zaidi kuliko mtu asiyetumia kilevi chochote?(Unamkumbuka bi kidude?),je utaamini hata baba wa taifa alikuwa member kwenye hii kitu?je unajua hata Mandela amevuta hii kitu?je unajua baadhi ya maaskari polisi,jwtz na madaktari wanaovuta bangi wanapendwa zaidi kuliko wasiovuta bangi?(Nina mifano ya majina ya watu hao na kuna dr mmoja anajenga ghorofa kubwa kwa jinsi anavyopata sapoti kwa wateja anaowatibu)Ah!unahitajika utafiti kuhusu hii kitu mkuu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ukisha puliza hii kitu unakuwa kwnye high level of concentration kuliko hata mfanya yoga
hata kma ni nyimbo unasikia word after word
kama ni book auelewa line after line
acha kabisa kanywe hayo ma viroba yenu sasa uone
Daah! Iyo bn ni mbaya xana unavurugwa xana bn!
1. Ulichoandika namba moja ni uongo mkubwa - bangi is very addictive (hebu acha kuvuta siku moja utajua)
2. Hizo moods hata zikiwa evil ones - bangi inaziongeza na hivyo huongeza uhalifu katika jamii
3. hii ya kumbukumbu umetunga wewe - madhara ya bangi ni zaidi ya kumbukumbu
mwisho, nakushauri uende kwa daktari, kama una sababu ya muhimu kutumia bangi atakuandikia na utavuta ukiwa sehemu maalum sio katika public
neggirl how can u compare gay movements with marijuana movement?
Mkuu, kuna kitu kinachoongeza uhalifu zaidi ya Ukosefu wa Elimu, siasa fasi, utawala bora na ongezeko la umaskini?
Hayo madhara zaidi ungetufafanulia tuelewe, maana madaktari wabobezi wanatuambia the stuff is good na ni dawa ya mambo mengi, tena sigara ni hatari kuliko bangi sasa wewe unayesema otherwise ungekuja na scientific proof. Bangi is never adictive bro, mimi huwa navuta mara chache sana, na nikiamua kutovuta wala sina tatizo. Mkuu binafsi nimewahi kusmoke na high profile figures ambao huwezi kuamini, the weed is just great, nakushauri na wewe uonje kidogo, kama harufu inakusumbua jaribu kuchukua chungwa ulikate, kisha chukua kicontainer kisichopitisha hewa weka majani upande mmoja na vipande vya chungwa upande wa pili kisha funika overnight, kesho yake utasmoke kitu chenye radha murua na harufu ya chungwa, soooo nice!:tongue:
duh!mkuu una ushawishi kama shetani,
au we shetani umekuja kwa sura ya muhuniflani?
Kwa kawaida kitu unachokiamini lazma ukitetee kwa nguvu zako zote!mateja yote 99.9% yameanzia hukuhuku ulipo wewe
Hahahaaa, ni kwa vile hatujuani tu mkuu, nina heshima zangu!
One Love!
kawaida tu mkuu,kwani mbona wapo waheshimiwa mateja(G.W.BUSH)
na wengine wabunge,mawaziri,mapadre(ktk church healthn ya Shaggy)