Bangi agriculture in tarime!

wanaharibu mazingira kwanini waichome?
 
Jamani hii wangeiruhusu kama CASH Crop ingesaidia kiuchumi kwani kipaotp cha wakulima kingekua na serikali ingejipatia chanz0 kipya cha K0DI. Ukiifanya iwe za0 halali hata madhara ya matumizi yatapungua-kwa kuwa hulka ya binadamu siku z0te ime0nesha-KIKATAZWACH0 hupata wapensi wengi zadi!
 
Wasiwasi wangu hawa maafande wakimaliza Z0EZI hili wanakuwa wamevuta share ya mvutaji mzuri ya mwaka mzima! Hawana hata mask wala nini....
aisee ulinzi wa hii nchi mdogo sana,bangi kama hizi mpaka sinakua mpaka kukauka ndo wanakuja kuiona
 
Hivi hao maaskari wanapomaliza zoezi huwa wanakua katika hali gan!!
 
Hilo ni shamba mfano tuu(demo-farm) nenda lushoto, meru, rolya, songea na mbinga ukajionee kilimo kwanza tena cha kisasa cha bangi
 
Kuna soko zuri nchi jirani kwa bidhaa hii .Sasa kila siku nchi yetu imekuwa ni kuuziwa bidhaa za nchi jirani.Ushirikiano wa afrika Mashariki,kila nchi inauza bidhaa inazoweza kuzalisha.!!

Afghanistan wanalima zao ambalo sehemu zingine za dunia wanaita madawa ya kulevya,Inabidi kutumia vigezo hivyo kuwaruhusu wakulima wajiongezee kipato.Kwa sasa dhahabu inachukuliwa na Wawekezaji,wananchi wanakosa fursa.!!!
 
Am a ganja planter call me de ganja farmer, deep in da earth where me put de ganja babylon come.....! Marlon Asher..
 
Genesis 1:11-12
And God said, “Let the earth sprout vegetation, plants yielding seed, and fruit trees bearing fruit in which is their seed, each according to its kind, on the earth.” And it was so. The earth brought forth vegetation, plants yielding seed according to their own kinds, and trees bearing fruit in which is their seed, each according to its kind. And God saw that it was good

Genesis 1:29 - And God said, Behold, I have
given you every herb bearing seed, which [is]
upon the face of all the earth, and every tree, in
the which [is] the fruit of a tree yielding seed; to
you it shall be for meat.


1 Timothy 4: 4-5 : For every creature of God [is] good, and nothing to be refused, if it be received with thanksgiving: For it is sanctified by the word of God and prayer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…