Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Oct 10, 2011 #1 Mchunga ng'ombe mmoja baada ya kupata cha-malawi cha kutosha,alianza kukimbia huku ameinama.Alipoulizwa ni kwanini anakimbia huku ameinama,akajibu;Mawingu yameshuka usawa wa kichwa changu.
Mchunga ng'ombe mmoja baada ya kupata cha-malawi cha kutosha,alianza kukimbia huku ameinama.Alipoulizwa ni kwanini anakimbia huku ameinama,akajibu;Mawingu yameshuka usawa wa kichwa changu.
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 10, 2011 #2 Haaa haaa haaaa!asnte kwa j3 njema!