Bange mbaya....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Jamaa mmoja alikuwa akivuta bange tena ya tabora,chini ya Mti wa mwembe....alipo maliza kuvuta akalala chali lakini pemben yake kulikuwa na bustan ya Matikiti ...jamaa akaanza kumlaumu Mungu...Dah Mungu Boya kweli badala Haya matikiti yawe Juu Mti ambayo ndo makubwa yeye kayaweka chini...alafu viembe vidogo kaviweka juu dah Mungu alikosea kbs na si fresh kabisa...gafla Usingizi ukampitia Kidogo...akiwa amelala embe likadondoka likatua kwenye paji la Uso pwaaa...jamaa akakurupuka akaanza kusema dah Mungu ni Noma Aisee kama lingekuwa tikiti limenidondokea ingekuwaje duh Mungu ana akili Kinoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom