Habari wana JF, Mara nyingi nimesikia watu wa TCRA wakizungumza umuhimu wa kudhibiti matumizi ya Bandwidth, je kwa kiswahili rahisi tunaweza kusema bandwidth ni kitu gani hasa na kinaweza kufananishwa na nini!?
A- : Kaka unataka nini maana ya Bandwidth?
.
B- : Unataka kujua Bandwidth kwa kiswahili!
.
Kama jibu ni (A) GOOGLE will help you!
.
Kama jibu ni (B) GOOGLE TRANSLATOR will help you!