Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 #1 Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,153 Reaction score 185,428 Mar 3, 2025 #2 Pole sana, weka la mwezi... Cc: Mahondaw
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 2,058 Reaction score 3,443 Mar 3, 2025 #3 mmh mbona router skuiz ni cheap kwa 70k unakula unlimited
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 7,511 Reaction score 21,116 Mar 3, 2025 #4 mzabzab njoo utume hela ya bando huku
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,086 Reaction score 47,028 Mar 3, 2025 #5 Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero Click to expand... Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi. Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi
Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero Click to expand... Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi. Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,138 Mar 3, 2025 #6 Epuka maudhui ya video, bando lita dumu sana Kwangu mimi Vodacom imekua bora kwa matumizi ya intanet, bando la 1000 kwa siki 3 walao linafika siku ya pili karibu na ya tatu.
Epuka maudhui ya video, bando lita dumu sana Kwangu mimi Vodacom imekua bora kwa matumizi ya intanet, bando la 1000 kwa siki 3 walao linafika siku ya pili karibu na ya tatu.
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #7 Smart911 said: Pole sana, weka la mwezi... Cc: Mahondaw Click to expand... Inazingua natumia ya tigo yote inaisha shwaa tena ya mwezi nimeeka naambiwa matumizi Yako
Smart911 said: Pole sana, weka la mwezi... Cc: Mahondaw Click to expand... Inazingua natumia ya tigo yote inaisha shwaa tena ya mwezi nimeeka naambiwa matumizi Yako
D def_xcode JF-Expert Member Joined Jul 25, 2023 Posts 2,552 Reaction score 6,816 Mar 3, 2025 #8 Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero Click to expand... Nunua huduma ya unlimited unakuta kw mwezi unalipia 55k-70k na mnatumia nyumba nzima tu bila kujipimia unatiririka.
Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero Click to expand... Nunua huduma ya unlimited unakuta kw mwezi unalipia 55k-70k na mnatumia nyumba nzima tu bila kujipimia unatiririka.
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #9 didy muhenga said: mmh mbona router skuiz ni cheap kwa 70k unakula unlimited Click to expand... Zinakwaza izo imebuma yangu ya airtel
didy muhenga said: mmh mbona router skuiz ni cheap kwa 70k unakula unlimited Click to expand... Zinakwaza izo imebuma yangu ya airtel
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,153 Reaction score 185,428 Mar 3, 2025 #10 Anastasia21 said: Inazingua natumia ya tigo yote inaisha shwaa tena ya mwezi nimeeka naambiwa matumizi Yako Click to expand... Acha kuangalia mambo yaliyokatazwa...
Anastasia21 said: Inazingua natumia ya tigo yote inaisha shwaa tena ya mwezi nimeeka naambiwa matumizi Yako Click to expand... Acha kuangalia mambo yaliyokatazwa...
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,920 Mar 3, 2025 #11 Mr Q said: Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi. Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi Click to expand... Kumbe
Mr Q said: Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi. Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi Click to expand... Kumbe
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #12 Mr Q said: Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi. Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi Click to expand... Ngoja nijaribu hii
Mr Q said: Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi. Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi Click to expand... Ngoja nijaribu hii
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #13 def_xcode said: Nunua huduma ya unlimited unakuta kw mwezi unalipia 55k-70k na mnatumia nyumba nzima tu bila kujipimia unatiririka. Click to expand... Duh ๐๐พ
def_xcode said: Nunua huduma ya unlimited unakuta kw mwezi unalipia 55k-70k na mnatumia nyumba nzima tu bila kujipimia unatiririka. Click to expand... Duh ๐๐พ
Ryan Holiday JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 3,475 Reaction score 5,900 Mar 3, 2025 #14 Punguza matumizi yasiyo ya msingi, hakikisha unapofungua app fulani unaifunga kwa wakati, kabla haujafungua app nyingine.
Punguza matumizi yasiyo ya msingi, hakikisha unapofungua app fulani unaifunga kwa wakati, kabla haujafungua app nyingine.
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #15 Smart911 said: Acha kuangalia mambo yaliyokatazwa... Click to expand... We nae unawaza uzinzi tu!
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #16 Ryan Holiday said: Punguza matumizi yasiyo ya msingi, hakikisha unapofungua app fulani unaifunga kwa wakati kabla haujafungua app nyingine. Click to expand... Owky
Ryan Holiday said: Punguza matumizi yasiyo ya msingi, hakikisha unapofungua app fulani unaifunga kwa wakati kabla haujafungua app nyingine. Click to expand... Owky
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,153 Reaction score 185,428 Mar 3, 2025 #17 Anastasia21 said: We nae unawaza uzinzi tu! Click to expand... Weka video na picha kwa faida ya members...
Anastasia21 said: We nae unawaza uzinzi tu! Click to expand... Weka video na picha kwa faida ya members...
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 2,304 Reaction score 5,654 Mar 3, 2025 Thread starter #18 Smart911 said: Weka video na picha kwa faida ya members... Click to expand... ๐น๐น๐น๐น
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,128 Reaction score 4,028 Mar 3, 2025 #19 Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh adi kero Click to expand... Uko kizamani Sana tumia VPN (virtual private network) unlimited ni wewe uwezo wako wa kutumia simu unaweza kukesha.
Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh adi kero Click to expand... Uko kizamani Sana tumia VPN (virtual private network) unlimited ni wewe uwezo wako wa kutumia simu unaweza kukesha.
and 100 others JF-Expert Member Joined Feb 3, 2023 Posts 4,515 Reaction score 14,978 Mar 3, 2025 #20 unatumia sana tiktok au insta reels? hapo lazima bando liende shwaaa!