Bando la halotel

Escaper

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,780
Reaction score
3,241
Wakuu, hivi kuna ambaye anatumia lile bando letu la kushusha vitu (heavy weight) 1000 internet bure kuanzia saa 6 mpaka sa12 asbh

Maana mara ya nne hii nachoma buku zangu hela wanachukua na kifurushi sipati.

Napenda kujua hilo kwa mnaotumia halotel.
 
Haujajiunga kifurushi chengine pindi unapojiunga hicho cha usiku? Wana tatizo la kuchagua kifurushi pale unapokuwa navyo viwili.
 
Usiku pack au?
Haujajiunga kifurushi chengine pindi unapojiunga hicho cha usiku? Wana tatizo la kuchagua kifurushi pale unapokuwa navyo viwili.
Kile ambacho kinaitwa Ramadhan ofa,

Sijaunga kifurushi chochote ukiunga wanakutumia sms kuwa tumia internet bure sa6 mpk 12 ila ukijaribu kubrowse unaletewa notification tu kwenye browser kuwa tumia facebook ya bure
(Kifurushi hamna)
Mara ya 4 hii nikahisi itakua baada ya Ramadhan kuisha wamesepa na hiyo ofa ila najiuliza mbona menyu ipo!
 
1000 internet buree mpaka 11 asubuhi
Mi nikiunga holaa mkuu , najikuta pesa imesepa na bando hakuna, ila nikiunga cha 1500 usiku pack fresh tu.

Sasa mimi 10GB chache sana!
 
Mi ni mhanga Mkuu Yaan Niliwapigia Wakanimbia Wata fix kutokana na Eneo nililopo Na sasa Lain inafanya Kazi kama Kawa nilikuwa na Tatizo kama Lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…