Habar wanajamvi, hivi hawa wenye mitandao ya simu mbona siwaelewi leo nimeweka buku jero ili nijiunge university offer ya wiki nilichokutana nacho sikuamin. Kwa wiki 10 mb wakati zilikuwa 500mb au ndio mnataka kufidia ile mipesa mliokatwa na TCRA...
Acha ubishi mkuu..kwa menu ya *148*00# -1 kuna ofa nyingine but sio kama za chuo
Kwa menu ya *148*01*20# kifurushi cha wiki 1500 now wanatoa dk.100,sms 100 na Mb 100 wamepunguza kutoka dk500,msg 5000 na 500mb
Nipo tayari kurekebishwa
Hii ni ofa maalum kwa watu maalum tena sasa hivi unapata 1gb. Sio watu wote kwenye menu yao wataona university offer. Kuwa mvumilivu jiunge vifurushi vingine. Sasa hivi mimi najiunga nikiwa sehemu yoyote.
kuanzia Kesho Tar15/March vifurushi vya chuo kupitia *148*02*20# vitabadilika. Kuendelea kupata vifurushi ulivyovizoea piga *148*00# chagua OFA MAALUM, UNI OFA,hiyo ndo ujumbe ulotumwa na tigo