bandari za Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bandari za Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jamii01, Feb 7, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nilipata fursa ya kutembea bandari moja katika nchi fulaani..nikakuta kazi wanazofanya ni kupakia mizigo kwenda nchi nyingine kutoka kwenye viwanda vyao..pia nikatembelea bandari ya dsm yenyewe hiko busy kushusha mizigo kutoka nchi nyingine mpaka nafasi inakosekana ya kuweka mizigo..

  Je tutandelea mpaka lini kuwa soko la viwandani vingiene..

  Mwl.Nyerere alisema huwezi kuwa na uchumi imara kama hakuna viwanda endelevu..sasa viwanda vyote chali..tumebakiza magofu tupu..

  Shida ya Tanzania nini hasa?
   
 2. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hakuna uzalendo.....shule hazifundishi uzalendo kabisa.....vile nyimbo zetu siku hizi hakuna kabisa......watu wanaishia kufikiria kuwa matajiri fasta fasta.....wengine wanakimbilia ulaya halafu wanasema maisha ya bongo hawayawezi, yamewachosha....sijui wanataka nani ndio ayafanye yawe mazuri.

  kama na wazungu wangekimbia nchi yao sijui UK kungekuwaje sasa hivi.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Shida ya tanzania ni shida kwakweli.
   
Loading...