Bandari ya Mombasa yaporomoka kwa kasi kwa ubora, yapitwa na bandari ya Dar

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE: Hivi Ukiacha na mbio ndegu, kuna kitu gani kimebaki?.

Conclusion: Tanzania is "Hoyeeeeeee......

-----

Dar es Salaam, Djibouti and Berbera ports have toppled Mombasa in the World Bank’s latest ranking on the most efficient ports, highlighting the competition fears that Kenya has had over Tanzania becoming a preferred route for shippers.

The third edition of the global Container Port Performance Index has ranked the Mombasa port at position 326 in 2022 out of the 348 ports worldwide that were assessed, behind the regional peers in eastern Africa.

Kenya’s main port recorded a steep decline from the 2021 report where it was placed at position 296 by the World Bank.

The ports are ranked based on their efficiency, measured by the elapsed time between when a ship reaches a port to its departure from the berth having completed its cargo exchange.

The World Bank notes that efficient operation of the port is key to the development of trade in the region, pointing out that there has been significant improvement in business since 2020 when the marine industry recorded reduced activities in the wake of the Covid-19 pandemic.

“Improving port efficiency is essential for unlocking Africa’s growth and development,” said Martin Humphreys, lead transport economist at the World Bank.

“Africa’s ports are vital gateways for trade and commerce, and efficient operation contributes to food security. Their efficient operation is a key determinant in whether Africa achieves its economic potential.”

This comes even as Tanzania’s Port of Dar es Salaam has in recent years staged stiff competition, threatening to pull most of the ships plying the East African waters into their harbour.

In the ranking, the Tanzanian port recorded improvement from the 2021 ranking to stand at position 312 from 361 previously.

Data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows the volume of cargo handled by Mombasa port dipped for the first time in five years in 2022, with players pointing to rising competition from Dar es Salaam.

Total cargo throughput at the port shrunk to 33.74 million tonnes last year from 34.76 million tonnes the year before, according to KNBS.

The 2.93 percent year-on-year drop pushed the volumes to the lowest levels since 2018 when it stood at 30.92 million tonnes.

Among the report highlights are China’s Yangshan Port, which topped the ranking despite periods of heavy disruption caused by typhoons and various other factors in 2022.

The Port of Berbera (144), Djibouti (26), Port Elizabeth (291), Durban (341) and Cape Town (344) are among the ports that were assessed in sub-Saharan Africa.

Source: Dar, Djibouti ports overtake Mombasa in new World Bank ranking
 
Ishu ilikuwa ni ndogo kutanua bandari sasa unaona faida yake.

Ila wengine mara ooh bandari ya Bagamoyo.
Yule mzee MUNGU awatume malaika wamtandikie vizuri kitanda chake na kubadilisha mashuka na kumuwekea mito milaini ili azidi kupumzika kwa amani huko aliko.

Laana ya kumdharau, kumdhihaki, kumchukia na kumuongelea mabaya itawatafuna wale wote waliomuona kuwa ni mtu mbaya kwa taifa letu.
 
Naona ziara hapa kutwa watu kutoka nje ya Tanzania wanakuja kuangalia utanuzi na kutoa ahadi za kushirikiana na TPA .

Ila watu walikuwa wanakaza kichwa eti Bagamoyo 😅😅
 
Naona ziara hapa kutwa watu kutoka nje ya Tanzania wanakuja kuangalia utanuzi na kutoa ahadi za kushirikiana na TPA .

Ila watu walikuwa wanakaza kichwa eti Bagamoyo 😅😅
kwa kweli nliumiaga sana siwezi sema kipindi kile nlikuwa na hali gani kuanzia siku alipoanguka jukwaani nlianzia pale kuumia nlijua tuu hamna muda sana uliobakia shame of us.
 
kwa kweli nliumiaga sana siwezi sema kipindi kile nlikuwa na hali gani kuanzia siku alipoanguka jukwaani nlianzia pale kuumia nlijua tuu hamna muda sana uliobakia shame of us.
Screenshot_20230522-143623.png

Mfano hii ni bandari ya Tanga imeboreshwa kidogo ni moja kati ya ule mpango wa kuboresha bandari ..Imeanza kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka huu kupokea meli kubwa ila balaa lake meli kubwa zinatia nanga na hii ni juzi tu .

Miaka kibao watu wanadelay kuleta ubinafsi yaani uanze ujenzi mpya wa Bagamoyo sijui utaisha lini wakati zipo zinazohitaji maboresho madogo ,Watu wakakuza uchumi.
 
View attachment 2631186

Mkuu, Africa watu wengi ni wavivu wa kufikiria. Watu wanafanya mambo kwa mihemuko na kupenda sifa, ndicho kinachoimaliza Kenya. Tanzania hatuhitaji bandari yoyote mpya kabla ya kuzihimarisha zilizopo na kuhakikisha zinafanya kazi 100%. Kenya wameuvaa mkenge wa Lamu port.
 
kabisa mkuu kwa sasa kila mmoja anaanza kusema wazi kabisa kwamb angekuwepo mzee mambo yangekuwa mali mengi.
 
Hii vita baridi kama ilivyokuwa kwa magu na kenya now ni Ruto na Tanzania

Jojo, uhuru &other tycoon in town wanafanya yao.!!!

Ruto mpaka aombe poo au aondoke madarakani !! Otherwise itaendelea kuwa story hii!!!
 
Mkuu, Africa watu wengi ni wavivu wa kufikiria. Watu wanafanya mambo kwa mihemuko na kupenda sifa, ndicho kinachoimaliza Kenya. Tanzania hatuhitaji bandari yoyote mpya kabla ya kuzihimarisha zilizopo na kuhakikisha zinafanya kazi 100%. Kenya wameuvaa mkenge wa Lamu port.

Sehemu kubwa ya cabinet sasa hivi inajeaa watu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom